Yohana 3:12 Ikiwa nimewaambia mambo ya duniani, wala hamsadiki, mtasadiki wapi niwaambiapo mambo ya mbinguni? SWALI: Je! Hayo Mambo ya…
2 Yohana 1:10-11 Mtu akija kwenu, naye haleti mafundisho hayo, msimkaribishe nyumbani mwenu, wala msimpe salamu. Maana yeye ampaye salamu…
Jina la Bwana wetu YESU KRISTO libarikiwe, karibu katika kujifunza Biblia. Upo usemi usemao “wanadamu tumeumbiwa maradhi”..Usemi huu ni wa…
Jina la Bwana YESU KRISTO libarikiwe, karibu tujifunze maandiko.. shetani hana jipya zaidi ya kunakili (kucopy) vile vilivyopo na kuvutumia…
Mfundishe mtoto namna ya kutumia jina la Yesu katika kutenda mambo yake yote. Washirikishe na wengine habari hizi njema kwa…
Tambua Dhambi inaua chini kwa chini.. Je unajua ni kwa namna gani?.... Hebu fikiri kama mwili wako usingewekewa hisia ya…
Waebrania 12:1 "Basi na sisi pia, kwa kuwa tunazungukwa na wingu kubwa la mashahidi namna hii, na tuweke kando kila mzigo mzito, na dhambi ile ituzingayo kwa upesi; na tupige mbio kwa saburi katika yale mashindano yaliyowekwa mbele yetu,"
Kutana na orodha ya mafundisho,mbalimbali,kulingana na mada kuanzia wokovu, Mungu, Roho Mtakatifu, kanisa, Siku za Mwisho n.k.
Tovuti hii inakupa wigo wa kuuliza maswali, na pia kujifunza kwa kupitia maswali mengi yaliyojibiwa
Kutana na mafundisho mbalimbali kwa njia ya video na sauti