Machapisho Mapya

ByLydia Mbalachi Sep 23, 2025

“Who were the Hivites?”

Who Were the Hivites? Answer: The Hivites were one of the seven nations that Israel drove out of the Promised…

kumpa kila anayetuomba
ByNuru ya Upendo Sep 22, 2025

Je ni kwetu tunatakiwa kumpa kila anayetuomba?

Swali: Maandiko yanasema katika Mathayo 5:42 kuwa tumpe kila atuombaye na kila atukopaye tusimpe kisogo?.. Je hata kama mtu ni…

KUSHAWISHWA HAKUTOSHI, AMINI KIKAMILIFU!
ByNuru ya Upendo Sep 19, 2025

KUSHAWISHWA HAKUTOSHI, AMINI KIKAMILIFU!

Mtume Paulo, alipokamatwa kule Yerusalemu na kupelekwa mbele ya wafalme kuhukumiwa, tunaona ujasiri wake ulikuwa wa ajabu, badala atumie nafasi…

ByJanet Mushi Sep 18, 2025

KATIKA NJIA IITWAYO NYOFU.

Sauli (Mtume Paulo) alipokuwa anaelekea Dameski kwa lengo la kuwafunga na kuwatesa watakatifu, kama tunavyoifahamu habari alitokewa na Yesu njiani,…

Je tunamwabuduje Mungu?
ByNuru ya Upendo Sep 18, 2025

Je tunamwabuduje Mungu?

Awali tufahamu nini maana ya kumwabudu Mungu, Kumwambudu Mungu si kumwimbia tu Mungu nyimbo ya kuabudu tulizozizoea, Neno kuabudu limetokana…

KANISA LILILOTAWANYIKA BADO LINAHUBIRI.
ByNuru ya Upendo Sep 16, 2025

KANISA LILILOTAWANYIKA BADO LINAHUBIRI.

Je unafahamu asili ya kanisa la Kristo? Ni vema wewe kama mwamini ufahamu mapito ya Imani yako. Mpaka leo hii…

Changia Huduma Hii

Wingu La Mashahidi Wa Kristo

Waebrania 12:1 "Basi na sisi pia, kwa kuwa tunazungukwa na wingu kubwa la mashahidi namna hii, na tuweke kando kila mzigo mzito, na dhambi ile ituzingayo kwa upesi; na tupige mbio kwa saburi katika yale mashindano yaliyowekwa mbele yetu,"

Mafundisho

Kutana na orodha ya mafundisho,mbalimbali,kulingana na mada kuanzia wokovu, Mungu, Roho Mtakatifu, kanisa, Siku za Mwisho n.k.

je! Una maswali yoyote kuhusu biblia?

Tovuti hii inakupa wigo wa kuuliza maswali, na pia kujifunza kwa kupitia maswali mengi yaliyojibiwa

You-tube

Kutana na mafundisho mbalimbali kwa njia ya video na sauti