Orodha ya majina ya Miji ya Biblia (Agano la kale) na Sasa

Ifuatayo ni orodha ya baadhi ya  Miji ya biblia katika Agano la kale, jinsi ilivyojulikana na inavyojulikana sasa. 

(Ili kulisoma “Jedwali” lote, slide kuelekea kushoto)

Jina la Mji
(Nyakati za biblia)
Marejeo (katika biblia)Jina la Mji sasa
(Nyakati hizi)
Nchi uliopo sasa
1.Shitimu Yoshua 2:1, Mika 6:5Tall el-HammamYORDANI
2.AiYoshua 7:2Deir DibwanPALESTINA
3.Almoni Yoshua 21:18Khirbet AlmitPALESTINA
4.AnathothiYoshua 21:13-18, Yeremia 1:1AnataPALESTINA
5.Ashteroth- KarnaimuMwanzo 14:5,
Yoshua 9:10
Tell Ashtara[SIRIA
6.AzekaYoshua 10:10, Yeremia 34:6-7
Tel AzekaISRAELI (Yerusalemu)
7.Beth-AzmawethEzra 2:24, Nehemia 7:28HizmaPALESTINA
8.AshuruYeremia 50:1-46BorsippaIRAQ (Kwa sehemu kubwa)
9. Bahurimu2Samweli 3:16Abu DisPALESTINA
10. Bethanath BethanathWaamuzi 1:33,
Yoshua 19"38
Bi'ina[ISRAELI (Kaskazini)
11.BetharbelHosea 10:14IrbidYORDANI
12.Betheli Mwanzo 28:19BeitinPALESTINA
13.Beth-yeshimothiHesabu 33:49SweimehYORDANI
14.Beth-tapuaYoshua 15:53TaffuhPALESTINA
15.BozraAmosi 1:12BouseiraYORDANI
16.KefiraEzra 2:25Khirbet el-KafiraPALESTINA
17.KesaloniYoshua 15:10KsalonISRAELI (Yerusalemu)
18.KezibuMwanzo 38:5Khirbet esh Sheikh GhazyISRAELI
19.Kutha2Wafalme 17:24Tell IbrahimIRAQ
20.Dedani Ezekieli 38:13Al-'UlaSAUDI-ARABIA (Madina)
21.Debiri Waamuzi 1:11Khirbet Rabud PALESTINA
22.DothaniMwanzo 37:17Tel DothanPALESTINA
23. AkmethaEzra 6:2HamadanIRAN
24.EdreiHesabu 21:33DaraaSIRIA
25.EgloniYoshua 10:3-5Tel 'EtonISRAELI (upande wa kusini)
26.Ekroni Yoshua 15:45Tel MiqneISRAELI
27.ElimuKutoka 16:1Wadi GharandelMISRI
28.EnganimuYoshua 19:21JeninPALESTINA
29.ErekuMwanzo 10:10UrukIRAQ
30.EshtemoaYoshua 21:14as-SamuPALESTINA
31.Etamu2Nyakati 11:6Solomon's PoolsPALESTINA
32.Gathi Yoshua 11:22RamlaISRAELI
33.Gath-heferiYoshua 19:13Gob'batha of SepphorisISRAELI
34.Gibea1Samweli 13:3JabaPALESTINA
35.GederaYoshua 15:36al-JudeiraPALESTINA
36.GerariMwanzo 10:19HaluzaISRAELI
37.GezeriYoshua 10:33Tel GezerISRAELI
38.GibethoniYoshua 19:44Tel MalotISRAELI (ya kati)
39.GibeoniYoshua 10:12Al-JibPALESTINA
40.GiloYoshua 15:51Beit JalaPALESTINA
41.Gozani1Nyakati 5:26Tell HalafSIRIA
42.HaliYoshua 19:25AdiISRAELI (Kaskazini)
43.Hamathi2Samweli 8:9HamaSIRIA
44.Hasason-tamariMwanzo 14:7Ein GediISRAELI
46.HazoriNehemia 11:33Khirbet HazzurPALESTINA
47.Iyoni1Wafalme 15:20Tell ed-DibbinLEBANONI
48.Yabesh-GileadiWaamuzi 21:8-15Tell el-MaqlubYORDANI
49.Yezreeli1Wafalme 18:45Zir'inISRAELI
50.IroniYoshua 19:38YarounLEBANONI
51.KadeshiHesabu 20:1PetraYORDANI
52.Kadeshi-BarneaKumbukumbu 1:2Tell el-QudeiratMISRI (Sinai)
53.Kiriath-yearimuYoshua 9:17Abu GhoshISRAELI (Yerusalemu)
54.LakishiIsaya 36:2Tell LachishISRAELI
55.MahanaimuMwanzo 32:2Tulul edh-DhahabYORDANI
56.MedebaHesabu 21:30MadabaYORDANI
57.MegidoYoshua 17:11Tel Megiddo ISRAELI
58.OniMwanzo 46:20Ayn ShamsMISRI (Cairo)
59.Penueli Mwanzo 32:22-32Tulul edh-DhahabYORDANI
60.RabaYoshua 15:60RebboISRAELI (Yerusalemu)
61.RamaYoshua 19:29RamehISRAELI
62.Sheba Zaburi 72:10-ETHIOPIA
63.ShekemuMwanzo 12:6NablusPALESTINA
64.Shilo Yoshua 18:1Tel ShilohPALESTINA
65.ShunemuYoshua 19:18SulamISRAELI (Kaskazini)
66.SiniEzekieli 30:15Tell el FaramaMISRI
67.SukothiYoshua 13:27Deir AllaYORDANI
68.Shushani (Ngomeni)Nehemia 1:1ShushIRAN
69.SeweneEzekieli 29:10AswanMISRI
70.SidonMwanzo 10:19SaidaLEBANONI
71.Sarepta1Wafalme 17:9-10SarafandLEBANONI
72.TahpanesiYeremia 44:1Tell DefennehMISRI
73.TimnaWaamuzi 14:1Tell ButashiISRAELI (Yerusalemu)
74.Tiro Yoshua 19:29SurLEBANONI
75.Uru (ya Ukaldayo)Mwanzo 11:31Tell el MuqayyarIRAQ

Fuatilia tena hapa hapa, Orodha ya Miji ilivyojulikana Agano jipya na inavyojulikana sasa.

Pia washirikishe na wengine habari hizi njema kwa kushea

Ikiwa utapenda kupata msaada wa kumpokea Yesu maishani mwako bure, Basi wasiliana nasi kwa namba uzionazo chini ya makala hii.

Pia kwa kupokea mafundisho ya kila siku kwa njia ya WHATSAPP, jiunge na channel yetu kwa kupofya link hii >> https://whatsapp.com/channel/0029VaBVhuA3WHTbKoz8jx10

Kwa mawasiliano: +255789001312 au +255693036618

Bwana akubariki.

Mafundisho mengine:

MAJINA YA MANABII WANAWAKE

ORODHA YA MITUME.

UJAZO WA BIBLIA KATIKA MGAWANYO WAKE.

ORODHA YA WAFALME WA ISRAELI.

MANABII WA BIBLIA (Wanaume)

Rudi Nyumbani

Print this post