ORODHA YA WAFALME WA ISRAELI.

ORODHA YA WAFALME WA ISRAELI.

Orodha ya wafalme wa Israeli.


Kabla ya Israeli kugawanyika sehemu mbili kulikuwa na wafalme wakuu watatu waliotawala Israeli

 1. Mfalme Sauli
 2. Mfalme Daudi
 3. Mfalme Sulemani

Baada ya kugawanyika. Na kuwa mataifa mawili,.. lile kubwa lilichukua makabila 10 hivyo likaendelea kuitwa jina hilo hilo Israeli, na lile dogo lilibakiwa na kabila moja tu,la Yuda, na lenyewe pia likaendelea kuchukua jina la kabila hilo hilo Yuda (1Wafalme 11:35-36). Ikumbukwe kuwa kabila la 12 la Lawi lenyewe halikuwa  na urithi, walitawanywa katikati ya makabila 11 yote ya Israeli.

Hii ndio Orodha ya Wafalme wa Israeli(iliyogawanyika) kuanzia wa kwanza hadi wa mwisho.

 1. Yeroboamu
 2. Nadabu
 3. Baasha
 4. Ela
 5. Zimri
 6. Omri
 7. Ahabu
 8. Ahazia
 9. Yoramu
 10. Yehu
 11. Yehoahazi
 12. Yehoashi
 13. Yeroboamu
 14. Zekaria
 15. Shalumu
 16. Menahemu
 17. Pekahia
 18. Peka
 19. Hoshea.

Jumla ya wafalme wote waliotawala upande wa Israeli (iliyogawanyika) walikuwa ni 19.

Na hii ndio Orodha ya Wafalme wa Yuda kuanzia wa kwanza hadi wa mwisho

 1. Rehoboamu
 2. Abiya
 3. Asa
 4. Yehoshafati
 5. Yehoramu
 6. (Yehoramu akamuoa Athalia binti Yezebeli,ambaye alitawala Israeli kwa miaka 7 kama malkia)
 7. Ahazia
 8. Yoashi
 9. Amazia
 10. Uzia
 11. Yothamu
 12. Ahazi
 13. Hezekia
 14. Manase
 15. Amoni
 16. Yosia
 17. Yehoahazi
 18. Yehoyakimu
 19. Yekonia/ Yehoyakini
 20. Sedekia

Jumla ya wafalme wote waliotawala Yuda ilikuwa ni wafalme 19, malkia 1.

Shalom.

Tazama mada nyingine chini.

Pia Kama utapenda tuwe tunakutumia mafundisho ya Neno la Mungu ya mara kwa mara kwa njia ya email yako au Whatsapp basi tutumie ujumbe kwenye namba hii +255 789001312

Mada Nyinginezo:

Israeli ipo bara gani?

MTO YORDANI UKO NCHI GANI KWA SASA?

Mto Frati upo nchi gani, Umuhimu wake katika biblia ni upi?

DHIKI KUU INAKUJA NA UNYAKUO UPO KARIBU.

CHAPA YA MNYAMA

MAPIGO YA VITASA SABA, NA SIKU YA BWANA.

MKUMBUKE MKE WA LUTU.

Rudi Nyumbani:

Print this post

About the author

Admin administrator

Subscribe
Notify of
guest
4 Comments
Newest
Oldest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
TITUS
TITUS
1 year ago

Leave your message

Anonymous
Anonymous
2 years ago

Amen. Amen

EZEKIELY MARKO
EZEKIELY MARKO
3 years ago

MUNGU AWABARIKI KWA HUDUMA NZURI MNAYOIFANYA