JE BIKIRA MARIAMU ALIZAA WATOTO WENGINE?

JE BIKIRA MARIAMU ALIZAA WATOTO WENGINE?

Biblia imeweka wazi kuwa Mariamu, mama yake Yesu alikuwa na watoto wengine..

Mathayo 13:53 “Ikawa Yesu alipoimaliza mifano hiyo, alitoka akaenda zake.

54 Na alipofika nchi yake, akawafundisha katika sinagogi lao, hata wakashangaa, wakasema, Huyu amepata wapi hekima hii na miujiza hii?

55 Huyu si mwana wa seremala? Mamaye si yeye aitwaye Mariamu? Na nduguze si Yakobo, na Yusufu, na Simoni, na Yuda?

56 Na maumbu yake wote hawapo hapa petu? Basi huyu amepata wapi haya yote?

57 Wakachukizwa naye. Yesu akawaambia, Nabii hakosi kupata heshima, isipokuwa katika nchi yake, na nyumbani mwake mwenyewe”. 

Maumbu kama inavyosomeka kwenye mstari wa 56, maana yake ni ndugu wa ‘KIKE’ (madada)..Kwahiyo Mariamu alikuwa ana watoto wengine wakiume na wakike.


Mada Nyinginezo:

SAYUNI NI NINI?

NI HALALI KUBATIZA WATOTO WADOGO?

KUNA HUKUMU ZA AINA NGAPI?

SABATO HALISI NI LINI, JE! NI JUMAPILI AU JUMAMOSI?, NI SIKU GANI ITUPASAYO KUABUDU?

MUNGU ALIKUWA ANAONGEA NA NANI ALIPOSEMA NA “TUMFANYE MTU KWA MFANO WETU”,(MWANZO 1:26)?


Rudi Nyumbani:

Print this post

About the author

Admin administrator

Subscribe
Notify of
guest

6 Comments
Newest
Oldest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Raphael
Raphael
10 months ago

Mathayo 1;24
Naye Yusufu alipoamka katika usingizi, alifanya kama malaika wa Bwana alivyomwagiza; akamchukua mkewe;25 asimjue kamwe hata alipomzaa mwanawe; akamwita jina lake YESU..ndo maana nilitaka tuelewane hapa neno ha asimjue kamwe afu anasisitiza hata alimpomzaa mwanawe , kwaiyo wale no ndugu ndo maana wajasema watumbo moja

Raphael
Raphael
10 months ago

Ngoja tuone maandiko vizur kwasab ata watoto wa mamdogo ni ndugu zangu

Pastor Noé
Pastor Noé
1 year ago

I great you in the name of Jesus Christ. Baada ya kusoma kwa making some la jujus Kama Maria alizala wengine watt bade ya Yesu. Tunashukuru kwa Kazi ya mhimu ambayo mmefanya kabisa lakini hili swali limebaki likielezwa sana na wataalamu. Kwangu mimi nakubaliana na wale watu ambeo wanasema Kama Maria hakuzaa wengine watoto. Mungu hangelipenda kuchanga uzao wake kupitia Maria na wengine watoto wa kidunia. Haha nimesoma article ya mhimu Mayo inaweza kutuangazia sote, nimeipenda kwa sababu imeeleza vizuri kabisa kimila, kidini yani kiblia na kihistoria: Someni hii link: https://ackyshine.com/katoliki/je-bikira-maria-alizaa-watoto-wengine
Asante Mugu awabriki
Mimi ni Mchungaji Noé

Pastor Noé
Pastor Noé
1 year ago
Reply to  Pastor Noé

I great you in the name of Jesus Christ. Baada ya kusoma kwa makini somo la jujua kama Maria alizaa wengine watoto baade ya Yesu. Tunashukuru kwa Kazi ya mhimu ambayo mmefanya kabisa lakini hili swali limebaki likimwanga wino sana na Wataalamu. Kwangu mimi nakubaliana na wale watu ambao wanasema Kama Maria hakuzaa wengine watoto. Mungu hangelipenda kuchanga uzao wake kupitia Maria na wengine watoto wa kidunia. Hapa nimesoma ingine article ya mhimu Nayo inaweza kutuangazia sote, nimeipenda kwa sababu imeeleza vizuri kabisa kimila, kidini yaani kiblia na kihistoria kuhusu hili suali: tazameni hii link:
https://ackyshine.com/katoliki/je-bikira-maria-alizaa-watoto-wengine

Asante Mugu awabriki

Mimi ni Mchungaji Noé

Daud eliakim
Daud eliakim
2 years ago

Je hao ndugu zake ye walizaliwa baada ya yesu kuzaliwa au kabla ya yesu kuliwa?