Hivi ni baadhi ya vipimo mbalimbali vilivyotumika kupima vitu katika biblia, Vikikaridiwa kwa vipimo vya kisasa.
Vipimo vya Urefu.
- Mwanzi = 2.7 Mita
- Pima 1= Mita 1.8 (Futi 6)
- Shubiri = sm 22.2
- Dhiraa = 0.5 Mita
- Mkono 1= SM 44.7
Vipimo vya vitu vikavu.
- Pishi =Lita 2
- Efa = Lita 22
- Kabi = Lita 1
Vipimo vya vimiminika (maji maji)
- Logi 1= 0.31
- Hini 1= Lita 3.67
- Bathi 1= Lita 22
- Kori 1= Lita 220
- Homeri 1 = lita 208
Vipimo vya uzito
- Shekeli [Shekeli 1 = Gramu 11.42]
- Mina [Mina 1 = Gramu 570]
- Talanta [Talanta 1= kg 34.2]
- Dinari [Dinari 1= Gramu 3.85]
- Beka 71g………………….Kutoka 38:26
- Gera 57g……………….Kutoka 30:13
Je! utapenda tuwe tunakutumia mafundisho ya Neno la Mungu ya mara kwa mara kwa njia ya email yako au Whatsapp? Kama jibu ni ndio, basi tutumie ujumbe kwenye namba hii +255 789001312 tukuunge.
Mada Nyinginezo:
Rudi Nyumbani:
Print this post