Zawadi kubwa na ya kipee alipewa mwanadamu na Mungu, iliyomtofautisha na viumbe vingine vyote, (vya mbinguni na duniani) basi ni…
Moja ya ombi kubwa la watu wa Mungu, pale wanapojikuta wameokoka, ni kubadilishwa mazingira waliyopo, wapelekwe kwenye mazingira mengine yenye…
Chanzo kibaya, Haimaanishi mwisho mbovu, chanzo chaweza kuwa bora lakini mwisho ukawa mbovu, Vilevile chanzo chaweza kuwa kibovu, mwisho ukawa…
Swali: Ubatizo ni kitendo cha kuzama kwenye maji na kuibuka juu ambacho ni kiashirio cha kufa na kufufuka pamoja na…
Jina la Bwana YESU libarikiwe. Tusomapo habari ya safari ya Wana wa Israeli kutoka Misri kuelekea Kanaani, tunajifunza mengi sana,…
Mafanikio ni kitendo cha mtu kufanikisha jambo lolote aliloliadhimia liwe baya au zuri. Mtu aliyedhamiria kununua shamba na akanunua, mtu…
Waebrania 12:1 "Basi na sisi pia, kwa kuwa tunazungukwa na wingu kubwa la mashahidi namna hii, na tuweke kando kila mzigo mzito, na dhambi ile ituzingayo kwa upesi; na tupige mbio kwa saburi katika yale mashindano yaliyowekwa mbele yetu,"
Kutana na orodha ya mafundisho,mbalimbali,kulingana na mada kuanzia wokovu, Mungu, Roho Mtakatifu, kanisa, Siku za Mwisho n.k.
Tovuti hii inakupa wigo wa kuuliza maswali, na pia kujifunza kwa kupitia maswali mengi yaliyojibiwa
Kutana na mafundisho mbalimbali kwa njia ya video na sauti