Ifuatayo ni orodha ya baadhi ya Miji ya biblia katika AGANO JIPYA, jinsi ilivyojulikana na inavyojulikana sasa.
(Ili kulisoma “Jedwali” lote, slide kuelekea kushoto)
Jina la Mji (Nyakati za biblia)Marejeo (Katika biblia)Jina la Mji sasa (Nyakati hizi)Nchi uliopo sasa 1. AdramitioMatendo 27:2BurhaniyeUturuki 2.Antiokia Matendo 11:26AntakyaUturuki 3.AntipatriMatendo 23:31Rosh HaAyin[Israreli (ya kati) 4.AsoMatendo 20:13BehramkaleUturuki 5.AtaliaMatendo 14:25AntalyaUturuki 6.Beroya Matendo 17:10VeriaUgiriki 7.KaisariaMatendo 23:23CaesareaIsraeli 8.KaudaMatendo 17:26GavdosUgiriki 9.KenkreaWarumi 16:1KechriesUgiriki 10.KorinthoMatendo 18:1KechriesUgiriki 11.KireneMatendo 11:20ShahhatLibya (Afrika) 12.GerasiMarko 5:1KursiIsraeli 13.IkonioMatendo 14:1KonyaUturuki 14.Laodikia Ufunuo 3:14EskihisarUturuki 15.LidaMatendo 9:32LodIsrareli (ya kati) 16.ListraMatendo 14:8KlistraUturuki 17.MitileneMatendo 20"14MytileneUgiriki 18.MiraMatendo 27:5DemreUturuki 19.NeapoliMatendo 16:11KavalaUgiriki 20.NikopoliTito 3:12PrevezaUgiriki 21.Pergamo Ufunuo 2:12BergamaUturuki 22.Filadelfia Ufunuo 3:7 AlaşehirUturuki 23.FilipiMatendo 16:12FilippoiUgiriki 24.TolemaiMatendo 21:7AcreIsraeli (Kaskazini) 25.PuteoliMatendo 28:13PozzuoliItalia (Rumi) 26.RegioMatendo 28:13Reggio CalabriaItalia (Rumi) 27.EfesoMatendo 19:35SelçukUturuki (Magharibi) 28.SardiUfunuo 3:1SartmustafaUturuki (Magharibi) 29.SmirnaUfunuo 2:8İzmirUturuki (Magharibi) 30.ThiatiraMatendo 16:14AkhisarUturuki (Magharibi) 31.ThesalonikeMatendo 17:1ThessalonikiUgiriki
Fuatilia tena hapa hapa, Orodha ya Miji ilivyojulikana AGANO LA KALE Hapa >>> Orodha ya majina ya Miji ya Biblia (Agano la kale) na Sasa
Washirikishe na wengine habari hizi njema kwa kushea
Ikiwa utapenda kupata msaada wa kumpokea Yesu maishani mwako bure, Basi wasiliana nasi kwa namba uzionazo chini ya makala hii.
Pia kwa kupokea mafundisho ya kila siku kwa njia ya WHATSAPP, jiunge na channel yetu kwa kupofya link hii >> https://whatsapp.com/channel/0029VaBVhuA3WHTbKoz8jx10
Kwa mawasiliano: +255789001312 au +255693036618
Bwana akubariki.
Mafundisho mengine:
ORODHA YA MITUME.
MISTARI YA BIBLIA KUHUSU WATOTO.
MAJINA YA MANABII WANAWAKE
MANABII WA BIBLIA (Wanaume)
MAJINA YA MITUME WA BWANA YESU
Rudi Nyumbani
Print this post
Tunabarikiwa sana
Amen