Kibiblia via ni viungo vya mwili wa mwanadamu au mnyama,, husasani mikono au miguu.
Hivi ni baadhi ya vifungu vinavyolitaja Neno hilo;
Ayubu 17: 7 “Jicho langu nalo limekuwa giza kwa sababu ya majonzi, Na via vyangu vyote vimekuwa kama kivuli”.
Ayubu 18:13 “Utakula via vya mwili wake, Naam, mzaliwa wa kwanza wa mauti atavila via vyake”.
Ayubu 41:12 “Sitanyamaa kusema habari za via vyake, Wala nguvu zake kuu, wala umbo lake zuri”.
Shalom.
Tazama mana ya maneno mengine chini;
Je utapenda tuwe tunakutumia mafundisho ya Neno la Mungu ya mara kwa mara kwa njia ya email yako au Whatsapp? basi kama ni hivyo tutumie ujumbe kwenye namba hii +255 789001312
Mada Nyinginezo:
About the author