Machapisho Mapya

Je mtu anaweza kujibatiza mwenyewe mtoni?
ByNuru ya Upendo Jun 17, 2026

Je mtu anaweza kujibatiza mwenyewe mtoni?

Swali: Ubatizo ni kitendo cha kuzama kwenye maji na kuibuka juu ambacho ni kiashirio cha kufa na kufufuka pamoja na…

ByNuru ya Upendo Jun 15, 2026

KUSUDI LA MUNGU NYUMA YA SAFARI.

Jina la Bwana YESU libarikiwe. Tusomapo habari ya safari ya Wana wa Israeli kutoka Misri kuelekea Kanaani, tunajifunza mengi sana,…

ByNuru ya Upendo Jun 9, 2026

Ipi tofauti ya Baraka na Mafanikio.

Mafanikio ni kitendo cha mtu kufanikisha jambo lolote aliloliadhimia liwe baya au zuri. Mtu aliyedhamiria kununua shamba na akanunua, mtu…

ByNuru ya Upendo Jun 8, 2026

LITUKUZE JINA LA BWANA

Jina la Bwana YESU KRISTO libarikiwe daima. Karibu tujifunze Biblia, Je unajua ni kitu gani kilichotukuka sana kwa MUNGU?. Hiko…

ByNuru ya Upendo Jun 7, 2026

ONGEZA NGUVU ZAKO ZA ROHONI.

Jina la Bwana YESU libarikiwe, karibu tujifunze Biblia, na leo tutajifunza umuhimu wa kuongeza nguvu za rohoni. Biblia inasema... Mithali…

ByNuru ya Upendo Jun 6, 2026

NAMI NITAMPA ILE NYOTA YA ASUBUHI.

Ufunuo  2:26 “Na yeye ashindaye, na kuyatunza matendo yangu hata mwisho, nitampa mamlaka juu ya mataifa, 27 naye atawachunga kwa…

Changia Huduma Hii

Wingu La Mashahidi Wa Kristo

Waebrania 12:1 "Basi na sisi pia, kwa kuwa tunazungukwa na wingu kubwa la mashahidi namna hii, na tuweke kando kila mzigo mzito, na dhambi ile ituzingayo kwa upesi; na tupige mbio kwa saburi katika yale mashindano yaliyowekwa mbele yetu,"

Mafundisho

Kutana na orodha ya mafundisho,mbalimbali,kulingana na mada kuanzia wokovu, Mungu, Roho Mtakatifu, kanisa, Siku za Mwisho n.k.

je! Una maswali yoyote kuhusu biblia?

Tovuti hii inakupa wigo wa kuuliza maswali, na pia kujifunza kwa kupitia maswali mengi yaliyojibiwa

You-tube

Kutana na mafundisho mbalimbali kwa njia ya video na sauti