https://www.high-endrolex.com/4

Machapisho mapya

Ya hivi karibuni..

Yakobo 4:11  Ndugu, msisingiziane; amsingiziaye ndugu yake, au kumhukumu ndugu yake, huisingizia sheria na kuihukumu sheria. Lakini ukiihukumu sheria, huwi mtenda sheria, bali umekuwa hakimu.
ByAdmin Sep 7, 2024

Neno ‘huisingizia sheria na kuihukumu sheria’ maana yake nini? (Yokobo 4:11)

SWALI: Neno ‘huisingizia sheria na kuihukumu sheria’ maana yake nini? (Yokobo 4:11) Yakobo 4:11  Ndugu, msisingiziane; amsingiziaye ndugu yake, au kumhukumu ndugu yake, huisingizia sheria na kuihukumu sheria. Lakini ukiihukumu…

ByAdmin Sep 3, 2024

Bali mapato ya biashara yake yatakuwa mali zao wakaao mbele za BWANA,

SWALI:  Naomba kufahamu maana ya unabii unaozungumzia taifa la Tiro (Isaya 23). Kwamba litafanya ukahaba na falme zote ulimwenguni kisha utajiri wake utakuwa wakfu kwa Bwana. Tafsiri yake ni nini?…

ByAdmin Sep 3, 2024

MAMBO MANNE(4) YAFANYAYO NENO LA MUNGU.

(Masomo maalumu kwa wahubiri). Kama Mhubiri basi fahamu mambo haya manne.. 2 Timotheo 3:16 “Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaonya watu makosa yao, na…

ByAdmin Aug 29, 2024

Je matumizi ya emoji ni dhambi kwa mkristo?.

Swali: Je sisi wakristo tunaruhusiwa kutumia emoji katika kufanya mawasiliano kwa njia ya kidigitali?. Jibu: Biblia inasema... Tito 1:15 “Vitu vyote ni safi kwa hao walio safi; lakini hakuna kilicho…

ByAdmin Aug 25, 2024

TIA MIZIZI CHINI, ILI UZAE MATUNDA JUU.

Nakusalimu katika jina la Bwana Yesu Kristo, Karibu tujifunze habari njema za uzima wa roho zetu.   Neno la Mungu linatuambia.. 2 Wafalme 19:30 Na mabaki yaliyookoka ya nyumba ya Yuda…

USIIGE TABIA YA NAAMANI
ByAdmin Aug 22, 2024

USIIGE TABIA YA NAAMANI

Unajua Kwanini Naamani atake kuingia tena katika nyumba ya Rimoni baada ya kuponywa? (2Wafalme 5:18) Turejee.. 2Wafalme 5:18 “Jambo hili Bwana amwachilie mtumwa wako; bwana wangu akiingia nyumbani mwa Rimoni…

Je! Ungependa kuchangia huduma hii?

"Tutafurahi kama utashirikiana nasi kwa mchango wako, au maombi yako au nguvu zako katika kusambaza jumbe hizi kwa wengine na Mungu atakubariki."

Wingu La Mashahidi Wa Kristo

Waebrania 12:1 "Basi na sisi pia, kwa kuwa tunazungukwa na wingu kubwa la mashahidi namna hii, na tuweke kando kila mzigo mzito, na dhambi ile ituzingayo kwa upesi; na tupige mbio kwa saburi katika yale mashindano yaliyowekwa mbele yetu,"

Mafundisho

kupitia tovuti hii utapata kujifunza misingi mingi ya Biblia kwa masomo yanayochapishwa humu kila siku. Hivyo usipitwe

je! Una maswali yoyote kuhusu biblia?

Tovuti hii inakupa wigo wa kuuliza maswali, na pia kujifunza kwa kupitia maswali mengi yaliyojibiwa

Shuhuda

Utapata pia kusoma shuhuda mbali mbali zitakazokusaidia kuimarisha imani yako

Download

download video, audio, pdf za masomo mbalimbali