Machapisho Mapya

ByNuru ya Upendo Apr 28, 2026

Fanyeni Yote kwa Jina la Yesu Kristo

Mfundishe mtoto namna ya kutumia jina la Yesu katika kutenda mambo yake yote. Washirikishe na wengine habari hizi njema kwa…

MAUMIVU YA DHAMBI
ByNuru ya Upendo Apr 27, 2026

MAUMIVU YA DHAMBI

Tambua Dhambi inaua chini kwa chini.. Je unajua ni kwa namna gani?.... Hebu fikiri kama mwili wako usingewekewa hisia ya…

EPUKA UVUGUVUGU.
ByNuru ya Upendo Apr 27, 2026

EPUKA UVUGUVUGU.

Uvuguvugu ni ile ya hali ya  kuchanganya mambo mema na mazuri (mema na mabaya kwa wakati mmoja).. Na roho ya…

NINAYEPENDEZWA NAYE
ByNuru ya Upendo Apr 25, 2026

NINAYEPENDEZWA NAYE

Mathayo 3:16 “Naye Yesu alipokwisha kubatizwa mara akapanda kutoka majini; na tazama, mbingu zikamfunukia, akamwona Roho wa Mungu akishuka kama…

Nini maana ya kuinuliwa juu ya nchi? (Yohana 12:32).
ByNuru ya Upendo Apr 20, 2026

Nini maana ya kuinuliwa juu ya nchi? (Yohana 12:32).

Swali: Bwana YESU alikuwa na maana gani aliposema “Nikiinuliwa juu ya nchi, nitawavuta wote kwangu”? Jibu: Turejee.. Yohana 12:32 "Nami…

JE UMEVULIWA KUTOKA MAJINI?
ByNuru ya Upendo Apr 11, 2026

JE UMEVULIWA KUTOKA MAJINI?

Jina la Mwokozi wetu YESU KRISTO libarikiwe, karibu tujifunze pamoja Biblia. Bwana alipokutana na Petro aliambiwa “TANGU SASA UTAKUWA UKIVUA…

Changia Huduma Hii

Wingu La Mashahidi Wa Kristo

Waebrania 12:1 "Basi na sisi pia, kwa kuwa tunazungukwa na wingu kubwa la mashahidi namna hii, na tuweke kando kila mzigo mzito, na dhambi ile ituzingayo kwa upesi; na tupige mbio kwa saburi katika yale mashindano yaliyowekwa mbele yetu,"

Mafundisho

Kutana na orodha ya mafundisho,mbalimbali,kulingana na mada kuanzia wokovu, Mungu, Roho Mtakatifu, kanisa, Siku za Mwisho n.k.

je! Una maswali yoyote kuhusu biblia?

Tovuti hii inakupa wigo wa kuuliza maswali, na pia kujifunza kwa kupitia maswali mengi yaliyojibiwa

You-tube

Kutana na mafundisho mbalimbali kwa njia ya video na sauti