Jiunge na group la Whatsapp, ujifunze biblia na upate Neno la siku kila asubuhi. kwa link hii >>> https://chat.whatsapp.com/BL8u1y4YoOkJ7YfEbFckXE
Masomo mbalimbali ya Neno la Mungu.
Awali ya yote nakupa hongera kwa kupenda kutafuta kujifunza Neno la Mungu, lipo kusudi la Mungu kukufikisha hapa, biblia inatuambia..
1Timotheo 4:13 “…ufanye bidii katika kusoma…”
Ni wachache sana katika wengi wanaozunguka mitandaoni kutafuta mambo ya msingi kama wewe.
Na unajua nini? bidii yako sio bure, Bwana Yesu alisema,
Mathayo 7:8 “kwa maana kila..atafutaye huona; naye abishaye atafunguliwa”.
Na pia alisema..
Mathayo 5:6 “Heri wenye njaa na kiu ya haki; Maana hao watashibishwa’.
Kwahiyo unachokitafuta Bwana atakupatia, na pengine hata zaidi ya kile ulichokuwa unakitazamia,
Mahali hapa utakutana na masomo mbalimbali ya Neno la Mungu, zaidi ya 1,000, na maswali mengi ya biblia yaliyojibiwa. Kuanzia kitabu cha Mwanzo hadi kitabu cha ufunuo.
Ili kuingia katika horodha ya masomo ya mbalimbali ya Neno la Mungu, fungua hapa>>> MASOMO MAPYA
Ili kusoma maswali ya biblia yaliyoulizwa na kujibiwa fungua hapa >>> MASWALI NA MAJIBU YA BIBLIA
Ili kusoma shuhuda za Mashahidi wa Imani wa kale fungua hapa >>> WINGU KUBWA LA MASHAHIDI.
Je! ulishawahi kujiuliza Unyakuo ni nini, na utakuwaje? Na kwanini Bwana Yesu alisema, Amin! Amin! Nawaambia kizazi hiki hakitapita hata hayo yote yatakapotokea, kusema kule kulimaanisha nini? Tazama hapa >> AMIN, NAWAAMBIA, KIZAZI HIKI HAKITAPITA,
Je! Unafahamu kuwa kanisa tunaloishi mimi na wewe ndio kanisa la Mwisho lijulikanalo kama Laodikia? Tayari makanisa 6 yalishapita, na sasa tupo katika kanisa la mwisho? >>> AGENDA KUBWA YA SHETANI KWA KANISA HILI LA LAODIKIA.
Je unafahamu Historia ya nyimbo mbalimbali za Tenzi>> TENZI ZA ROHONI
Je! Unajua Sadaka ni nini? Na umuhimu wake kwetu>> NGUVU YA SADAKA.
Je! Unajua aina za upendo, na upi tunapaswa tuwe nao?>> UPENDO NI NINI ?
Fahamu juu ya chukizo la uharibifu lililozungumziwa na Danieli na Bwana Yesu >> CHUKIZO LA UHARIBIFU
Ijue siku ya Bwana itakuwaje>> KIAMA KINATISHA.
Kwanini shetani aitwe nyoka wa zamani >> YULE JOKA WA ZAMANI.
Mbinguni ni wapi? Na je kuna aina ngapi za mbingu>> MBINGUNI NI WAPI?
Kuna siri gani katika kitabu cha Ruthu, kwanini kiandikwe na wakati yeye hakuwa mwanamke wa Kiyahudi, >>> MAMBO YA KUJIFUNZA KATIKA KITABU CHA RUTHU:
Ni siri gani imelala katika kitabu cha Esta juu ya Kristo na kanisa lake? >>> ESTA: Mlango wa 1
Mfahamu Melkizedeki, Je! alikuwa ni nani? Na kwanini awe hana baba wala mama, wala mwanzo wa siku wala mwisho? >>HUYU MELKIZEDEKI NI NANI?
Utawala wa miaka 1000 ni utawala gani? >>> UTAWALA WA MIAKA 1000.
Kitabu cha Danieli kina maudhui gani? Je naweza kupata uchambuzi wake tangu mwanzo hadi mwisho? >>> DANIELI: Mlango wa 1
Ubatizo sahihi ni upi? Kulingana na maandiko. >> UBATIZO NI NINI NA ULIO SAHIHI NI UPI?
Nahitaji kuokoka je nifanyaje?. >>> KUONGOZWA SALA YA TOBA
Kama utapenda masomo haya yawe yanakufikia kwa njia ya email/ whatsapp tutumie ujumbe katika namba hii :+255693036618 / +255 789001312
Natamani zaidi kusoma neno la Mungu na kulielewa na natamani zaidi kumjua Mungu na imani yangu ikue
napenda sana neno lamungu pia nashukuru sana kwa kazi nzuri watumishi wa mungu
Napenda kuijua vema BIBLIA, Naomba MUNGU ansaidie. Amen.🙏🙏🙏🙏
Shalom! Samahani mtumishi mimi nilikua nauliza je ni sahihi kwa mkristo kuvaa mavazi ya kiislamu kam kanzu na kofia? au kilemba?
Shalom watumishi wa Mungu ,samahani nina swali naomba kufundishwa WAEBRANIA 13:12-13
Kwa ajili hii Yesu naye ,ili awatakase watu kwa damu yake mwenyewe,aliteswa nje ya lango.Basi na tutoke tumwendee nje ya kambi,tukichukua shutumu lake.
NAOMBA UFAFANUZI/TAFSIRI YA HILI ANDIKO.
Naitwa Joseph mbarikiwe watumishi wa MUNGU na kazi yenu isonge mbele,
Pia nahitaji kujiunga na group lenu ila kila nikijaribu naambiwa sina Whatsapp..!
Mbarikiwe Sana watumishi wa mungu,mungu kanibariki Sana kupitia masomo ya bible
Jamani yani nimebarikiwa sana mungu awabariki watumishi wa mungu
Mtumishi wa Bwana napenda sana kujifunza neno la Mungu nitafurahi sana nikiwa nayapata mafundisho haya ya neno la Mungu
Tutamshukuru Mungu kwa ajili yako, kwa mchango wako, ili kuifanya injili hii isonge mbele Tuma sadaka yako kwa namba hizi:
Airtel:+255789001312 -Devis Magembe
Mpesa: +255767992434-Denis Magembe
About the author