Tatizo la Bawasiri kibiblia

Tatizo la Bawasiri kibiblia

Tatizo la Bawasiri kibiblia

Je biblia imeutaja ugonjwa wa Bawasiri mahali popote?, Ni nini chanzo cha Bawasiri na nini tiba ya Bawasiri?.

Jibu ni ndio! Ugonjwa wa bawasiri umetajwa katika biblia, na chanzo cha ugonjwa wa bawasiri kwa watu wengi ilikuwa ni pigo kutoka kwa Mungu, kutokana na kumwacha Mungu na kufuata njia za uasi.

Kumbukumbu 28:27 “Bwana atakupiga kwa majipu ya Misri, NA KWA BAWASIRI, na kwa pele, na kwa kujikuna, ambayo hupati kupoa. 

28 Bwana atakupiga kwa wazimu, na kwa upofu, na kwa bumbuazi la moyoni”.

Sasa si kila mtu leo mwenye ugonjwa wa Bawasiri kapigwa na Mungu,  bali wengine wamepata kutokana na uonevu tu wa shetani!… Wengine wametumia kila aina ya  dawa lakini bado suluhisho hawajapata!, na ingawa wapo ndani ya Imani na wokovu.

Hivyo kama njia zako hazimpendezi Mungu basi fahamu kuwa ugonjwa huo unaweza kuwa ni pigo kwako kutoka kwa Mungu ili utubu hivyo tubu kwa kumaanisha kubadilika kabisa, kisha mwombe Bwana naye atauondoa ugonjwa huo..

Lakini kama umeshaokoka na njia zako zinampendeza Mungu, na ugonjwa huu unakusumbua, basi fahamu kuwa Kwa kupigwa kwake Bwana Yesu sisi tumepona. Mwombe Bwana kwa Imani kwa jina lake naye atauondoa huo ugonjwa wa bawasiri! Au wasiliana nasi kwa maombezi, kupitia namba zetu tajwa hapo chini.. Na Yesu mtenda miujiza anaishi hadi leo na kuponya.

Bwana akubariki.

Tafadhali shea na wengine ujumbe huu;

Pia Kwa maombezi/ Ushauri/ Maswali/ Whatsapp:
Tuandikie katika BOXI la Maoni hapo chini au
Piga namba hizi: +255693036618 au +255789001312

Mada Nyinginezo:

Tatizo la kuvimba miguu kibiblia

Tatizo la kuvimba miguu kibiblia

JE TATIZO LA KULA KUCHA NI ISHARA YA KUWA NA MAPEPO?

Bwana alimaanisha nini kusema “kila mtu atatiwa chumvi kwa moto”

TATIZO LA NDANI LINALOWASUMBUA VIJANA, WALIOOKOKA.

Rudi nyumbani

Print this post

About the author

Admin administrator

Subscribe
Notify of
guest
0 Comments
Inline Feedbacks
View all comments