DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

MAOMBI NI NINI

Maombi ni nini? Neno maombi limetokana na neno kuomba, Kwamfano mtu unapokuwa na hitaji ya kitu Fulani, labda tuseme kazi, basi huwa unatuma maombi yako kwanza kwenye ofisi husika au…

 MAVUNO NI MENGI

Mavuno ni mengi, lakini watenda kazi ni wachache. Jina la Bwana Yesu libarikiwe. Karibu tujikumbushe baadhi ya mambo muhimu katika safari ya Imani. Tukiwa kama wakristo ni wajibu wetu kuifanya…

KUONGOZWA SALA YA TOBA

Kuongozwa sala ya toba. Ikiwa leo upo tayari kufanya uamuzi wa kumgeukia Yesu Kristo, na kutaka akuokoe na kukusamehe dhambi zako kabisa, Basi ni uamuzi wa busara sana ambao, utaufurahia…

BWANA WA MAJESHI.

Kwanini Mungu aitwe Bwana wa majeshi? Je! Ni kweli anayo majeshi au ni cheo tu amependa kujivika? Watu wengi hatufahamu kuwa Mungu anayo majeshi yake…Ni kweli hili jina limekaa sana…

MASERAFI NI NANI?

Yapo makundi tofauti tofauti ya Malaika wa Mbinguni.  Wapo Maserafi ambao ndio tutakaowazungumzia leo, wapo Makerubi (ambao ndani yake ndio alikuwa shetani), wapo wenye uhai wanne, wapo wazee ishirini na…

MJUMBE ASIYEKUWA NA UJUMBE.

Mjumbe asiyekuwa na ujumbe: Ukisoma katika biblia utakumbuka habari ile ya Daudi na mwanawe Absalomu, jinsi walivyoingia katika mapambano makali,.mpaka kuepelekea vita vizito kupiganwa kule msituni..Kama wengi wetu tunavyofahamu, katika…

IJUE NGUVU YA IMANI.

ijue Nguvu ya Imani ipo wapi? Imani ni ufunguo wa mambo yote.. Ukiwa na Imani timilifu Bwana Yesu alisema unaweza ukauambia hata Mlima Kilimanjaro uondoke pale, na ukajitupe Baharini, na…

NGUVU YA SADAKA.

Ijue nguvu ya sadaka. Kuna nguvu ya kipekee  iliyo ndani ya sadaka ambayo watu wengi hawaifahamu. Mungu anaweza kweli akawa ni Rafiki yako mkubwa sana, anaweza kweli akawa anazungumza na…

WHAT WE BELIEVE.

CLOUD OF WITNESSES, (BRETHRENS) We believe that Jesus Christ is the God manifested in human flesh for the purpose of man's redemption, and he is the Alpha and Omega (Rev.22:…

JINSI YA KUSOMA BIBLIA.

Fahamu jinsi ya kusoma biblia. Awali ya yote ninakupongeza kwa nia yako kutamani kujua jinsi ya kusoma biblia. Hapo mwanzoni kabla sijamjua vizuri Mungu, kati ya  vitabu ambavyo nilikuwa ninaona…