DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

KWANINI MIMI?

Kuna wakati unaweza kupitia mahali ukajikuta upo katika hali ambayo hujui sababu ni nini, haujui kosa lako ni lipi mpaka upokee mapigo mazito kama hayo.  Unabakia kujiuliza maswali kwanini mimi?…

Nini maana ya “Andiko huua, bali Roho huhuisha (2Wakorintho 3:6)

Jibu: Tusome.. 2Wakorintho 3:6  “Naye ndiye aliyetutosheleza kuwa wahudumu wa agano jipya; si wa andiko, bali wa roho; kwa maana andiko huua, bali roho huhuisha”. Kuhuisha maana yake ni “kutoa…

WAKATI AHADI INAPOKARIBIA, HUWA KUNA MAMBO YANATOKEA.

Shalom, nakusalimu katika jina lipitalo majina yote la Bwana wa mabwana na Mfalme wa wafalme YESU KRISTO, Mungu mkuu, Sifa na heshima, na utukufu ni vya kwake milele. Yeye ndiye…

VIKAANGUKA MACHONI PAKE VITU KAMA MAGAMBA.

Wakati mwingine Mungu anatumia njia za dhahiri kabisa kufunua yale yanayoendelea rohoni. Kwamfano utaona wakati ule Yesu anakutana na yule kichaa, na kuyaamuru yale mapepo yamtoke, tukio lililofuata  baada ya…

JINSI PAULO ALIVYOPAMBANA NA UJINGA WA ROHONI.

Contact Paulo katika kazi yake ya utume, hakuwa tu na jukumu la kuwahubiriwa watu Kristo  ili wamwamini, kisha wapokee ondoleo la dhambi halafu basi..Hapana, bali pia ni mtu ambaye alikuwa…

JE UNAIFANYA KAZI YA MUNGU?

Marko 13:32  “Walakini habari ya siku ile na saa ile hakuna aijuaye, hata malaika walio mbinguni, wala Mwana, ila Baba. 33  Angalieni, kesheni, , kwa kuwa hamjui wakati ule utakapokuwapo.…

Majina mbalimbali ya Mungu na maana zake.

Mungu ni mmoja tu, lakini katika umoja wake amekuwa akijifunua katika majina mengi, kulingana na  uweza wake alionao, au majira Fulani yaliyopita, au matukio ya namna tofauti tofauti  yaliyotokea. Ni…

Tarishi au Matarishi ni akina nani  kwenye biblia?

Tarishi ni mtu aliyeajiriwa kwa kazi ya kusafirisha na kuwasilisha barua au nyaraka mahali pengine. Katika biblia watu ambao walikuwa wanatumwa kusambaza barua za wafalme kwa watu wa mji, au…

Neno Buruji lina maana gani katika biblia?

Buruji ni aina ya mnara ambao ulijengwa  zamani mahususi kwa ajili ya kuvamia kambi za maadui zilizojengwa kwa kuta ndefu. Kwa namna ya kawaida ilikuwa ni ngumu kuvamia ngome za…

MATARAJIO YA KILA MWANADAMU DUNIANI NI YAPI?

Nakusalimu katika jina la Bwana na mwokozi wetu Yesu Kristo. Karibu tujikumbushe mambo ya msingi ambayo bila shaka moja ya hizi siku tutayaona yakitokea ulimwenguni.  Kwa kawaida ulimwengu umeundwa na makundi…