DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Tufanyaje ili tuonekane tunampenda Mungu?

SWALI: Naomba kufahamu kumpenda Mungu kukoje, Je tufanyeje ili tuonekane tunampenda? JIBU: Tofauti na sisi tunavyotafsiri upendo, kwamba ni kuonyesha hisia zilizo nzuri kwa mwingine, Kwamfano kuhurumia, kujali, kuthamini, kuhudumia,…

Ila atapewa mara mia sasa,Ndugu wake(Marko 10:30)

SWALI: Mbona katika Marko 10:30 Bwana Yesu anasema tutapata mara mia ‘wake’? Hii si inatupa uthibitisho kuwa ndoa za mitara ni sawa? JIBU: Tusome kwa ukaribu vifungu vyenyewe; Marko 10:28…

IJUE HEKIMA YA MUNGU KATIKA KUKUINUA KIMAISHA.

Ipo hekima ambayo Mungu anaitumia, pindi anapotaka kututoa katika hatua moja ya kimaisha kwenda nyingine. Kiasili, nafsi zetu sisi wanadamu zinapenda kupokea majibu ya maombi pale tu tunapoomba... Lakini hekima…

Kaanani ni nchi gani kwasasa?

Kaanani ni jina la zamani la nchi za Mashariki ya kati!..Eneo la Kaanani liliundwa na sehemu ya nchi zifuatazo, Nchi ya Israeli yote, pande za Magharibi mwa nchi ya Yordani,…

MIMI NI ALFA NA OMEGA.

Mara nyingi Bwana Yesu amekuwa akijitambulisha kwa majina mbalimbali, kwa mfano ukisoma Ufunuo 19:13 inasema jina lake anaitwa Neno la Mungu.. Hii ikiwa na maana popote palipo na Neno la…

Agano ni nini? na kuna aina ngapi za maagano?

Agano ni makubaliano kati ya pande mbili; Na kuna aina saba (7) za maagano kibiblia. 1)Agano kati ya “MTU NA MTU”, 2) kati ya “MTU NA KITU”, 3) kati ya…

ITII SAUTI ILIYOPO NYUMA YA KILA ISHARA YA MUNGU!

Shalom, karibu tujifunze maandiko. Kila ishara inayo sauti nyuma yake..Kwa mfano “tunapoona ishara ya mawingu kuwa meusi”..ujumbe au sauti uliopo nyuma ya hiyo ishara ni kwamba “muda si mrefu mvua…

“Nitampiga mchungaji na kondoo wa kundi watatawanyika”,Maana yake nini?

Nini maana ya “Nitampiga mchungaji, na kondoo wa kundi watatawanyika”. Kwanini Bwana Yesu apigwe? Na kwanini kondoo wake watawanyike!... Na je! Anayempiga ni nani?. Tusome, Mathayo 26:31 “Ndipo Yesu akawaambia,…

JINSI YA KUISHINDA DHAMBI INAYONITESA.

SWALI: Shalom. Naomba kufahamu nifanye nini ili niweze kuishinda ile dhambi inayonitesa.? JIBU: Dhambi inayomtesa mtu kwa jina lingine inaitwa “dhambi izingayo kwa upesi”, ambayo tunaisoma katika; Waebrania 12:1 Basi…

MWANAMKE, USIFUNGUE MLANGO WA MAPEPO KUKUINGIA!.

Jina la Bwana Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze Biblia. Je!, wewe ni Mwanamke?..kama ndio! basi fahamu kuwa upo katika hatari kubwa ya kuingiwa na roho za mapepo kuliko mwanaume!. Hebu…