Je ni malaika wawili au mmoja Swali: Katika Luka 24:4-6, biblia inasema ni malaika wawili..lakini tukirudi katika Marko 16:5-6 tunasoma ni malaika mmoja. Je biblia inajichanganya, au mwandishi yupi yupo…
SWALI: Naomba kufahamu maana ya unabii unaozungumzia taifa la Tiro (Isaya 23). Kwamba litafanya ukahaba na falme zote ulimwenguni kisha utajiri wake utakuwa wakfu kwa Bwana. Tafsiri yake ni nini?…
(Masomo maalumu kwa wahubiri). Kama Mhubiri basi fahamu mambo haya manne.. 2 Timotheo 3:16 “Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaonya watu makosa yao, na…
Swali: Je sisi wakristo tunaruhusiwa kutumia emoji katika kufanya mawasiliano kwa njia ya kidigitali?. Jibu: Biblia inasema... Tito 1:15 “Vitu vyote ni safi kwa hao walio safi; lakini hakuna kilicho…
Yohana 15:7 “Ninyi mkikaa ndani yangu, na maneno yangu yakikaa ndani yenu, ombeni mtakalo lote nanyi mtatendewa”. Je unaelewa maana ya kukaa ndani ya YESU (kuwepo ndani ya YESU) ??kwasababu…
Nakusalimu katika jina la Bwana Yesu Kristo, Karibu tujifunze habari njema za uzima wa roho zetu. Neno la Mungu linatuambia.. 2 Wafalme 19:30 Na mabaki yaliyookoka ya nyumba ya Yuda…
Unajua Kwanini Naamani atake kuingia tena katika nyumba ya Rimoni baada ya kuponywa? (2Wafalme 5:18) Turejee.. 2Wafalme 5:18 “Jambo hili Bwana amwachilie mtumwa wako; bwana wangu akiingia nyumbani mwa Rimoni…
Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo, karibu tujifunze maneno ya uzima. Katika nyakati hizi za hatari na udanganyifu mwingi, ni vizuri kujichunguza sana, ni Roho ipi umeipokea ndani…
Swali: Sheshaki inayotajwa katika Yeremia 25:26 ilikuwa ni wapi? Jibu: Turejee.. Yeremia 25:26 “na wafalme wote wa kaskazini, walio mbali na walio karibu, wote pamoja; na wafalme wote wa dunia,…
Bwana ametupa agizo na wajibu wa kwenda kuihubiri injili ulimwenguni kote, na kuwafanya mataifa kuwa wanafunzi wake.(Mathayo 28:19) Alisema pia mavuno ni mengi lakini watendakazi ni wachache. Ikiwa na maana…