Jibu: Kuna tofauti ya Neno “kutakabari” na “kutabaruku”. Kutakabari ni “kuwa ni majivuno yanayotokana na kiburi” unaweza kusoma kusoma kwa urefu hapa >> KUTAKABARI Lakini “kutabaruku” ambako ndiko tunakokwenda kukuzungumzia…
Jibu: Kutakabari maana yake ni “kuwa na kiburi”...Na hicho kinaweza kuja kutokana na kujiamini sana, au kuwa na kitu fulani ambacho wengine hawana, na kujiona huhitaji kitu kingine chochote...Kutakabari huko…
Utauliza je! Shetani ana uwezo wa kuzuia majibu ya maombi?. Jibu ni ndio!. Kwanza ni muhimu kufahamu kuwa shetani kamwe hana uwezo wa kuzuia maombi kumfikia Mungu..Maombi yeyote yale mtu…
Sala ya Uponyaji/Maombi ya uponyaji Nakusalimu katika jina la Bwana Yesu Kristo. Kusudi lingine kuu tukiachilia mbali lile la wokovu wa roho zetu ambalo lilimfanya Bwana Yesu aache enzi na…
Neno hilo italisoma katika ile habari ya Stefano alipokuwa anatumiwa na Mungu kufanya ishara na maajabu yasiyokuwa ya kawaida katika kanisa lake. Lakini baadhi ya wayahudi wa masinagogi mbali mbali…
Jina la Bwana wetu libarikiwe daima. Nakukaribisha katika kujifunza Maneno ya Mungu. Leo kwa ufupi tutatazama sehemu ya maisha ya Bwana wetu Yesu jinsi yalivyokuwa hapa duniani. Kama tunavyojua maisha…
Katika kitabu cha Zaburi na Mithali Neno mpumbavu linatajwa sana, naomba kufahamu mpumbavu ni mtu wa namna gani kibiblia? Biblia haielezi moja kwa moja maana ya mpumbavu, bali inaeleza tabia…
Hivi ni vifupisho vya nyakati. K.K – Maana yake ni Kabla ya kuzaliwa Kristo Yesu. Kwa kiingereza (B.C – Before Christ) Na B.K - Maana yake ni Baada ya kuzaliwa…
Hosana ni neno la kiyahudi lenye maana ya “OKOA”. Neno hili limeonekana mara ya kwanza kwenye biblia kipindi wakati Bwana Yesu anaingia Yerusalemu, ambapo wenyeji walimpokea kwa furaha, wakimwimbia na…
Watu wa mataifa mengine yote ya ulimwengu tofauti na Taifa la Israeli, ndio wanaojulikana kama “watu wa Mataifa”. Mungu alipoanza mpango wake wa kurejesha uhusiano wake na mwanadamu ambao ulipotea…