DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

UKOMA NA UJANE ULIO NDANI YAKO, UMEUPATIA TIBA?

Luka 4: 22 “Wakamshuhudia wote, wakiyastaajabia maneno ya neema yaliyotoka kinywani mwake, wakasema, Huyu siye mwana wa Yusufu? 23 Akawaambia, Hapana shaka mtaniambia mithali hii, Tabibu, jiponye nafsi yako; mambo…

MKUMBUKE MKE WA LUTU.

Mkumbuke Mke wa Lutu.. Luka 17:28 “Na kadhalika, kama ilivyokuwa katika siku za Lutu, walikuwa wakila na kunywa, walikuwa wakinunua na kuuza, wakipanda na kujenga; 29 lakini siku ile Lutu…

USIACHE KUJIFUNZA NENO LA MUNGU

Neno la Mungu limefananishwa na MBEGU (Luka 8:11), na siku zote mbegu ina uhai na inapopandwa ndani ya mtu, ule uhai wake unajidhihirisha ndani ya mtu huyo kulingana na umeaji…

KAMA UNAPENDA MAISHA, NA KUTAKA SIKU YAKO IWE NJEMA.

Biblia inasema maisha yetu yamefananishwa na chombo chochote kinachoendeshwa chenye usukani, mfano wa vyombo hivi vinaweza vikawa ni: Gari, au Meli, au ndege, n.k. vyote hivi pamoja na kwamba vina…

KITABU CHA DHIKI ZA WAKRISTO

DOWNLOAD >>> foxes_book_of_martyrs

CHANGIA SASA.

KAMA UMEGUSWA KUCHANGIA KAZI HII YA  INJILI ILI IZIDI KUWAFIKIA WATU WENGI ZAIDI, BWANA AKUBARIKI SANA KWA MOYO HUO. HIVYO KAMA UMEGUSWA UNAWEZA UKATUMA MCHANGO WAKO KWA KUPITIA NAMBA ZIFUATAZO.…

KIMBIA! KIMBIA! KIMBIA!

Makanisa yanayohubiri injili ya mafanikio tu. Na kukwambia kuwa uthibitisho wa Mungu kuwa yupo na wewe, ni kuwa tajiri ...JIHADHARI NA HILO KANISA! Makanisa yasiyohubiri toba ya msamaha na kuwafanya…

NYAKATI SABA ZA KANISA NA WAJUMBE WAKE.

NYAKATI SABA ZA KANISA NA WAJUMBE WAKE Tangu kipindi cha Bwana Wetu Yesu Kristo kuondoka duniani mpaka sasa imepita miaka takribani elfu mbili na katika hichi kipindi cha miaka hii…

ROHO YA MPINGA KRISTO IKITENDA KAZI SIKU HIZI ZA MWISHO

Papa kiongozi wa kanisa katoliki duniani alipokuwa akihutubia mbele ya maelfu ya watu juni 25, 2014 St. Peter's Square vatican akisema:     katika ukristo hakuna hilo suala kama kumtafuta Kristo…

MVUTO WA TATU!

Bwana  wetu Yesu Kristo alipokuwa hapa duniani, huduma yake iligawanyika katika sehemu kuu tatu. Ya kwanza:  huduma ya uponyaji, ishara na miujiza Ya pili: kueleza siri za mioyo ya watu,…