DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

MKARIBIE BWANA ZAIDI ILI UFANYIKE NGUZO.

Mkaribie Bwana. Shalom, karibu tujifunze Neno la Mungu.. Miongoni mwa watu waliokuwa wanamfuata Bwana Yesu kulikuwa na makundi manne..1) Makutano 2)Wanafunzi 3)Mitume 12 na 4) Nguzo. Kundi la kwanza ambalo…

NAO WALIOKUWA WAMEKUSUDIWA UZIMA WA MILELE WAKAAMINI.

Shalom, karibu tujifunza Neno la Mungu.. Matendo 13:46 “Paulo na Barnaba wakanena kwa ushujaa wakasema, Ilikuwa lazima neno la Mungu linenwe kwenu kwanza; lakini kwa kuwa mnalisukumia mbali, na kujiona…

BASI TUENDELEE KUMJUA MUNGU,NAYE ATATUJILIA KAMA MVUA YA VULI.

Basi tuendelee kumjua mungu, naye atatujilia kama mvua ya vuli. Ndugu, mmoja aliniuliza, akasema, Ni faida gani unapata katika kumtumikia Mungu?..Nikamwambia ni nyingi tu, akasema mimi niliokoka tangu zamani, na…

Kwanini Ibrahimu analitaja jina la YEHOVA wakati Musa anasema hakujifunua kwa jina hilo kwao?

SWALI: Hujambo mpendwa,naomba nieleweshwe hili tafadhali katika mwanzo 22:14 utaona Ibrahimu alipaita mahali pale YEHOVA-YIRE ambapo alimtoa yule kondoo kuwa sadaka, badala ya Isaka, lakini ukisoma tena katika Kutoka 6:2-3…

OLE WA NCHI NA BAHARI.

Ufunuo 12:12 “Kwa hiyo shangilieni, enyi mbingu, nanyi mkaao humo. Ole wa nchi na bahari! Kwa maana yule Ibilisi ameshuka kwenu mwenye ghadhabu nyingi, akijua ya kuwa ana wakati mchache…

UCHAWI WA BALAAMU.

Hesabu 23:23 “Hakika hapana uchawi juu ya Yakobo, Wala hapana uganga juu ya Israeli” Wengi tunalifahamu hili andiko na tunalitumia, pale tunapohisi roho za kichawi zinatunyemelea…Na tunapolitumia kwa Imani linaleta…

UKADHANI YA KUWA MIMI NI KAMA WEWE.

Nakusalimu katika jina kuu la mwokozi wetu Yesu Kristo. Karibu tujifunze maneno ya uzima.. Kwanini mara nyingine tunakuwa ni wepesi kufanya dhambi, ni wepesi kuwasengenya majirani zetu, ni wepesi kwenda…

PASAKA NI NINI? NA JE TUNARUHUSIWA KUSHEHEREKEA?

Pasaka ni nini kibiblia?, na je tunaruhusiwa kusheherekea pasaka sisi wakristo kama wayahudi? Pasaka ni neno la Kiswahili ambalo limetokana na neno la kigiriki “pascha” ambalo tafsiri yake kwa lugha…

Biblia inamaanisha nini inaposema “Tusitweze unabii”?

SWALI: Nini maana ya  “Tusitweze unabii”? JIBU: Tusome.. 1Wathesalonike 5:19 “Msimzimishe Roho; 20 msitweze unabii; 21 jaribuni mambo yote; lishikeni lililo jema; 22 jitengeni na ubaya wa kila namna”. Maana…

MWACHE YESU, NDIO AWE WA  KWANZA KUKUHURUMIA.

Siku zote mwache Yesu, ndio awe wa  kwanza kukuhurumia!. Nakusalimu katika jina kuu la Bwana wetu Yesu Kristo. Ni jambo la kawaida kila mmoja wetu kuijali kwanza hali yake binafsi,…