DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

“The Heart of a wise, is at his right hand” What does that mean?

QUESTION: What is the meaning of this verse? Ecclesiastes 10: 2 “A wise man's heart is at his right hand; But a fool's heart is at his left”. ANSWER: This…

Nini maana ya “katika wingi wa hekima mna wingi wa huzuni”.

SWALI: Biblia ina maana gani kusema “Katika wingi wa hekima mna wingi wa huzuni” Je! si sahihi kutafuta hekima? Mhubiri1:17 “Nikatia moyo wangu ili kuijua hekima, na kujua wazimu na…

Hanithi ni nini katika biblia? (kumbukumbu 23:17)

Hanithi ni nini? Hanithi kibiblia ni mwanaume anayeingiliwa kinyume na maumbile, (Kwa lugha ya sasa wanajulikana kama mashoga), watu wote waliokuwa wanafanya hivi vitendo, waliitwa mahanithi,  na adhabu yake ilikuwa…

Uzima wa milele ni nini?

Uzima wa milele ni nini kama unavyotajwa sehemu mbalimbali? Jibu fupi, uzima wa milele ni maisha yasiyokuwa na mwisho. Yaani unaishi tu, na utaendelea kuishi, hivyo hivyo kwa siku zisizokuwa…

Mkomamanga ni nini? Na katika biblia unawakilisha nini?

Mkomamanga ni nini? Komamanga ni tunda lenye mbegu ndogo ndogo nyingi ndani yake, ambalo linaliwa kwa kumumunywa mumunywa mbegu zake mpaka utamu wote uishe, au kwa kukamuliwa juisi, ni tunda…

YOU WILL STAND ALONE THAT DAY.

Blessed be the name of our Lord Jesus Christ. Let us learn the basics in this journey of earthly life. The Bible says the world is passing away with all…

YAFUATAYO NI MAWAZO YA ADUI HIVYO USIYASIKILIZE.

Adui yetu shetani, usiku na mchana anatafuta kutumeza, kama biblia inavyosema katika..1Petro 5:8 “ Mwe na kiasi na kukesha; kwa kuwa mshitaki wenu Ibilisi, kama simba angurumaye, huzungukazunguka, AKITAFUTA MTU…

THY KINGDOM COME.

Shalom, The Lord Jesus told us to pray and said. “ Our Father who art in heaven, Hallowed be thy name, Thy kingdom come”. It is true we know that…

WHAT DOES IT MEAN TO LIVE WHILE REDEEMING THE TIME?

Today, by the grace given us by the Lord, let us apply our hearts to understanding what God wants us to know. It's in God's own doing that you have…

Moyo wake mwenye hekima upo upande wa kuume, maana yake nini?

SWALI: Nini maana ya huu mstari? Mhubiri 10:2 “Moyo wake mwenye hekima upo upande wa kuume; Bali moyo wake mpumbavu upo mkono wa kushoto”. JIBU: Mstari huo unatuonyesha wazi kuwa…