DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

UFUNUO: Mlango wa 9.

Shalom.Karibu katika mwendelezo wa kitabu cha Ufunuo, ni vizuri ukakisoma kitabu hichi peke yako kwanza kwa utulivu, na katika uwepo wa Bwana, na kufuatilia mfululizo huu tangu mwanzo ili tunapoendelea…

UFUNUO:Mlango wa 8

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe.Karibu katika mwendelezo wa kitabu cha Ufunuo, leo kwa Neema za Bwana tutajifunza sura hii ya 8. Ufunuo 8:1 ‘Hata alipoifungua muhuri ya saba,…

UKWELI UNAOPOTOSHA.

Jina la Bwana wetu Yesu litukuzwe!..Maandiko yanatuambia Yesu ndiye njia, kweli na Uzima mtu hafiki kwa Baba isipokuwa kwa njia yake yeye. Ikiwa na maana kuwa hakuna namna yoyote ya…

MADHARA YA KUPUUZIA MAAGIZO YA MSINGI MUNGU ANAYOKUPA.

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo lisifiwe, nakukaribisha mtu wa Mungu tujifunze Maneno ya uzima, na leo tutajifunza ni kwanini Mungu alitaka kumuua Musa mwanzoni kabisa mwa huduma yake japokuwa…

JE! KARAMA NI UTHIBITISHO WA KUWA NA MUNGU?

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe…Karibu tujifunze Neno la Mungu,. Mojawapo ya jambo linalochanganya watu wengi wa Mungu..Na hata mimi lilikuwa linanichanganya mwanzoni sana wakati nampa Bwana maisha yangu…Ni…

JIPE MOYO.

Jina la mwokozi wetu Yesu Kristo, lisifiwe daima. Nakukaribisha tushiriki pamoja Baraka za rohoni. Leo tutaitazama kauli hii moja ambayo Bwana Yesu aliitoa siku ile kwa wanafunzi wake baada ya…

TAZAMA, NASIMAMA MLANGONI.

Jina la Bwana Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze Neno la Mungu. Kama wengi wetu tunavyojua kuwa hakuna wokovu nje ya Yesu Kristo, wala hakuna Maisha nje ya Yesu Kristo. Kama…

RUDIA, TENA NA TENA KUMWOMBA MUNGU USIKATE TAMAA.

Nilipokuwa mdogo, kulikuwa na wakati kaka yetu mara nyingi alikuwa kila akitoka shule ni lazima arudi na zawadi siku nyingine alikuwa anapitia bakery anatuletea sambusa za nyama n.k., sasa alikuwa…

MATUNDA YAPATANAYO NA TOBA!

Luka 3:7 ‘’Basi, aliwaambia makutano ya wale waliomwendea ili awabatize, Enyi wazao wa nyoka, ni nani aliyewaonya ninyi kuikimbia hasira itakayokuja? 8 Basi, TOENI MATUNDA YAPATANAYO NA TOBA; wala msianze…

NINAJUA MAWAZO NIKUWAZIAYO:

Shalom mpendwa wa Bwana, karibu katika kuyafakari maandiko matakatifu, Na leo tutajifunza somo ambalo tunaweza kuliona nyuma wa wana wa Israeli kukaa Babeli miaka 70, Ni kwanini Mungu aliamua kuweka…