Jina la Bwana na Mwokozi wetu Yesu libarikiwe. Karibu tujifunze biblia Neno la Mungu wetu lililo taa ya miguu yetu na mwanga wa njia yetu. Kuna mambo makuu mawili ambayo…
Nakusalimu katika jina kuu la Bwana wetu Yesu Kristo. Karibu tena tujifunze maneno ya uzima. Kulikuwa na aina nne za wito ambao Bwana aliwaitwa mitume wake. Wito wa kawaida: Ambapo…
Nakusalimu katika jina kuu la Bwana wetu Yesu Kristo, karibu tuyatafakari maneno ya neema ya Bwana wetu Yesu Kristo. Sisi kama wakristo hatuna budi kutambua kuwa yapo majira mbalimbali tutapishana…
Fahamu mambo ambayo ni wajibu wako kufanya, na yale ambayo unapaswa umsubiri kwanza Roho Mtakatifu akuongoze. Kama mkristo ni vizuri kuweza kutofautisha mambo ambayo ni wajibu wako kuyafanya, na mambo…
Zaburi 34:15 Macho ya Bwana huwaelekea wenye haki, Na masikio yake hukielekea kilio chao. 16 Uso wa Bwana ni juu ya watenda mabaya, Aliondoe kumbukumbu lao duniani. JIBU: Andiko hili…
Karibu katika mfululizo ya masomo yahusuyo matoleo! (Ifahamu Nguvu iliyopo katika Sadaka) Tangu Adamu aanguke ardhi ilianza kulaaniwa; kila siku laana ilikuwa inajiongeza juu ya laana, ndio maana utaona Mungu…
Nakusalimu katika jina la Bwana wetu Yesu Kristo. Karibu tuyasikilize maagizo ya Mungu. Kuna wakati Bwana alipokutana na mafarisayo alisema maneno haya; Mathayo 23:25-26 Ole wenu waandishi na Mafarisayo, wanafiki!…
Mathayo 9:14 “Wakati ule wanafunzi wake Yohana wakamwendea, wakasema, Kwa nini sisi na Mafarisayo twafunga, BALI WANAFUNZI WAKO HAWAFUNGI? 15 Yesu akawaambia, Walioalikwa arusini wawezaje kuomboleza, muda bwana arusi akiwapo…
Kwa utamaduni wa sasa mtu anapokufa, huwa anafukiwa chini ardhini, na juu huwekewa kiashirio Fulani cha kawaida kuonesha eneo hilo lipo kaburi. Lakini watu wengine hupenda kuyapa thamani makaburi ya…
Je unajua kuwa roho ya mpinga-kristo imeshaanza kutenda kazi na inaendelea kutenda kazi hata sasa? 1 Yohana 4:3 “Na kila roho isiyomkiri Yesu haitokani na Mungu. Na hii ndiyo roho…