DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

AINA SABA (7), ZA SIFA KIBIBLIA.

Katika biblia zipo aina mbalimbali za kumsifu Bwana, lakini kuna kuu saba ambazo zilitambuliwa na wayahudi kwa wakati wote. Hivyo ni vema kuzifahamu ili wigo wako uwe mpana zaidi katika…

Biblia ina mistari mingapi?

Biblia ina mistari mingapi?

Je kumwimbia Mungu kwa kucheza ni sahihi kibiblia?

Jibu: Kuna mambo makuu mawili ya kuzingatia katika kulitafakari hili.     1. KWANINI UNACHEZA     2. NACHEZAJE Tutazame moja baada ya lingine.      1. KWANINI UNACHEZA! Tafakari…

Ukaufu ni nini? (Kumbukumbu 28:22).

Swali: Ukaufu ni nini na Koga ni nini kama tunavyosoma katika Kumbukumbu 28:22? Jibu: Turejee. Kumbukumbu 28:22 “Bwana atakupiga kwa kifua kikuu, na kwa homa, na kwa kuwashwa, na kwa…

KILA SILAHA ITAKAYOFANYIKA JUU YAKO HAITAFANIKIWA.

Jina la BWANA wetu YESU KRISTO lihimidiwe daima. Neno la Mungu linasema.. Isaya 54:17 “KILA SILAHA ITAKAYOFANYIKA JUU YAKO HAITAFANIKIWA Kila na kila ulimi utakaoinuka juu yako katika hukumu utauhukumu…

Mhunzi ni nani? (Isaya 54:16)

Jibu: Turejee.. Isaya 54:16 “Tazama, nimemwumba MHUNZI avukutaye moto wa makaa, akatoa silaha kwa kazi yake; nami nimemwumba mharibu ili aharibu” Mhunzi/ Wahunzi  wanaozungumziwa katika biblia ni watu “wanaofua Vyuma,…

Majumbe ni watu gani? (Mwanzo 36:15).

Jibu: Turejee.. Mwanzo 36:15 “Hawa ndio MAJUMBE wao wana wa Esau; wana wa Elifazi, mzaliwa wa kwanza wa Esau; JUMBE Temani, JUMBE Omari, JUMBE Sefo, JUMBE Kenazi, 16 JUMBE Kora,…

Sifa na Lami ni nini? (Kutoka 2:3).

Swali: Sifa na Lami ni nini kama tunavyosoma katika Kutoka 2:3 Jibu: Turejee.. Kutoka 2:3 “Na alipokuwa hawezi kumficha tena, akampatia kisafina cha manyasi akakipaka SIFA NA LAMI, akamtia mtoto…

Sakitu ni nini? (Ayubu 38: 29)

Sakitu ni BARAFU INAYOANGUKA KUTOKA JUU, ambayo mara nyingi inafunika mimea, au barabara au nyumba katika nchi zenye baridi kali. (Tazama picha juu). Ayubu 38: 29 “Barafu ilitoka katika tumbo…

JE UMEUFIKIA ULE UTUKUFU HALISI WA MANA? 

Nakusalimu katika jina la Bwana wetu Yesu Kristo, karibu katika kujifunza Neno la uzima. Ni vizuri kufahamu mana waliyopewa wana wa Israeli jangwani, ijapokuwa ilikuwa ni ileile lakini haikuwa na…