DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Mafuta mabichi ni mafuta ya aina gani? (Zaburi 92:10)

Swali: Mafuta Mabichi yapoje, na yanafunua nini kiroho? Jibu: Tureje.. Zaburi 92:10 “Bali pembe yangu umeiinua kama pembe ya nyati, Nimepakwa MAFUTA MABICHI”. Mafuta mabichi yanayozungumziwa hapo si mafuta ambayo…

BWANA ANA NGUVU KAMA ZA NYATI! USIOGOPE UCHAWI!

Kama umeokoka kikweli kweli kwanini uchawi uwe na nguvu kwako?? Hesabu 23:22 “Mungu amewaleta kutoka Misri, Naye ana nguvu kama NGUVU ZA NYATI. 23 Hakika HAPANA UCHAWI juu ya Yakobo,…

Je kuwashwa mkono ni ishara ya kupata pesa?

Swali: Je ni kweli kwamba kiganja cha mkono wa kushoto au wa kulia kikiwasha basi ni ishara ya kupata pesa? Jibu ni LA!.. hakuna uhusiano wowote  kiganja kuwasha na fedha…

Nini maana ya kurarua mavazi? (Mwanzo 37:34).

Kurarua mavazi ni utamaduni wa wayahudi na watu wa zamani kuonyesha hisia zao kwa kuyararua (kuchana) sehemu ya mavazi yao kama isha ya Toba (kujishusha) au  maombolezo au majuto.  …

YEYE AJAYE ATAKUJA WALA HATAKAWIA.

Waebrania 10:37 “Kwa kuwa bado kitambo kidogo sana, YEYE AJAYE ATAKUJA, wala hatakawia”. Angalia muda unavyokimbia, angalia majira yanavyobadilika, angalia maasi yanavyoongezeka kwa kasi.. Je! yote haya unajua ni ishara…

Isaya 40:12 ‘maji kwa konzi ya mkono, na mbingu kwa shubiri’

SWALI: Naomba kufahamu nini maana ya Isaya 40:12 inaposema maji kwa konzi ya mkono, na mbingu kwa shubiri? Isaya 40:12 “Ni nani aliyeyapima maji kwa konzi ya mkono wake, na…

Nini maana ya 1Wakorintho 4:7?

SWALI: Naomba kufahamu maana ya 1Wakorintho 4: 7  Maana ni nani anayekupambanua na mwingine? Nawe una nini usichokipokea? Lakini iwapo ulipokea, wajisifia nini kana kwamba hukupokea? JIBU: Ukianza kusoma tokea…

MAOMBI YA KUOMBEA WATOTO.

(Masomo maalumu kwa wazazi na walezi) Marko 9:21 “Akamwuliza babaye, Amepatwa na haya tangu lini? Akasema, TANGU UTOTO Na mara nyingi amemtupa katika moto, na katika maji, amwangamize; lakini ukiweza…

Jicho kucheza ni ishara ya nini?

Jicho kucheza cheza maana yake nini?.. au inaashiria nini kiroho?..Je ni ishara ya kwamba kuna mtu ananisema au kuna jambo baya linakwenda kutokea?. Jibu: Jicho kucheza ni kitendo cha kope…

Mistari ya biblia kuhusu maombi.

Ifuatayo ni mistari michache ya biblia inayohusu maombi. Zekaria 10:1 “Mwombeni Bwana mvua wakati wa masika, naam, Bwana afanyaye umeme, naye atawapa manyunyu ya mvua, kila mtu atapewa nyasi kondeni.”…