DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

KILINDI CHAPIGIA KELELE KILINDI.

Zaburi 42:7 Kilindi chapigia kelele kilindi kwa sauti ya maboromoko ya maji yako, Gharika zako zote na mawimbi yako yote yamepita juu yangu. Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo.…

UKWELI KUHUSU UISLAMU Sehemu ya Pili: (Jiwe/Jabali la Kaaba).

Je “Kaaba” ni nini na ipo kwenye biblia?, Na wanyama wanaochinjwa kuelekea Kaaba je tunaruhusiwa kuwala?. Angalizo: Makala hii haina lengo la kushambulia Imani Fulani, wala kushabikia Imani Fulani, pia…

Tafsiri ya Yeremia 29:12 Nanyi mtaniita, mtakwenda na kuniomba, nami nitawasikiliza.

Yeremia 29:12 Nanyi mtaniita, mtakwenda na kuniomba, nami nitawasikiliza. 13 Nanyi mtanitafuta na kuniona, mtakaponitafuta kwa moyo wenu wote. 14 Nami nitaonekana kwenu, asema Bwana, nami nitawarudisha watu wenu waliofungwa,…

MAFUNZO YA BIBLIA KWA WATOTO

Darasa la Kwanza: KUIFUNGUA BIBLIA. watoto mwongozo wa kuifungua bibliaDownload Mwendelezo unakuja..... Ikiwa utapenda kupata msaada wa kumpokea Yesu maishani mwako bure, Basi wasiliana nasi kwa namba uzionazo chini ya…

Je! Utatu mtakatifu upo kibiblia?

Katika mapokeo ya kikristo, moja ya eneo ambalo limezuia mikanganyiko mingi, ni eneo hili linalohusiana na “Uungu wa Mungu” . Migawanyiko ya madhehebu mengi unayoyaona sasa chimbuko kubwa hasaa ni…

UKWELI KUHUSU UISLAMU Sehemu ya kwanza: (Msikiti wa AL-Aqsa).

Je msikiti wa Al-Aqsa ni nini, na unahusikaje katika unabii wa biblia? Angalizo: Makala hii haina lengo la kushambulia Imani Fulani, wala kushabikia Imani Fulani, pia haina lengo la kumchafua…

Ni dhiki ipi hiyo watu walio kwenye ndoa huipata sawasawa na 1Wakorintho 7:28?

1Wakorintho 7:28  Lakini, kama ukioa, huna hatia; wala mwanamwali akiolewa, hana hatia; lakini watu kama hao watakuwa na dhiki katika mwili nami nataka kuwazuilia hayo. Awali ya yote katika vifungu…

Je biblia inajichanganya kwa habari ya hukumu ya Mungu (Yohana 12:47 na Yohana 5:22, 27).

Swali: Katika Yohana 5:22 na 27 tunaona biblia inasema kuwa Mungu amempa Mwana (Yaani Bwana Yesu) hukumu yote…. lakini tukiruka mpaka ile sura ya 12:47 tunaona tena Bwana YESU anakanusha…

Je wafu wanafufuliwa au hawafufuliwi kulingana na Ayubu 14:12 na 1Wakorintho 15:51?

Swali: Katika Ayubu 14:12 tunasoma kuwa wafu hawafufuliwi, lakini katika 1Wakorintho 15:51 tunaona tena biblia inasema wafu watafufuliwa, sasa tuchukue ipi tuache ipi?.. au je biblia inajichanganya yenyewe? Jibu: Biblia…

NIFANYE NINI NIMSHINDE SHETANI?

1) WOKOVU:  Hilo ndio jambo la kwanza. Kamwe huwezi kumshinda shetani ikiwa upo nje ya Kristo, Ndicho kilichowakuta wale wana wa Skewa, walipotaka kutoa pepo kwa jina la Yesu. Lakini…