Jina la Bwana na Mwokozi wetu YESU Kristo libarikiwe, karibu tujifunze biblia (Neno la Mungu wetu) lililo taa ya miguu yetu na mwanga wa njia zetu (Zaburi 119:105). Biblia inasema…
Wajibu wa wanandoa ni upi? Mume: Kumpenda mke wake Kama mwili wake mwenyewe, ( Waefeso 5:25): Ikiwemo kumuhudumia kiafya, kimavazi, kimalazi, na kiroho. Mke: Kumtii Mume wake: Kumsikiliza, kumuheshimu, kukubali…
MAFUNDISHO MAALUMU KWA WANA-NDOA; FAMILIA TAKATIFU: Marimu na Yusufu. Karibu katika mwendelezo ya Masomo ya wanandoa . Ikiwa wewe ni mwanandoa au unajiandaa kuingia katika ndoa, basi masomo haya ni…
Jibu: Kibiblia “Mhuni” ni mtu anayefanya mambo yaliyo kinyume na maadili. Kwamfano mtu anayetanga kuzaa nje na ndoa, huyo kibiblia ni mhuni. Katika biblia neno Mhuni/wahuni limeonekana mara moja tu!…
Je unajua ni kwanini watu watahukumiwa? Hebu tusome maandiko yafuatayo.. Yohana 3:19 “Na hii ndiyo hukumu; ya kuwa NURU IMEKUJA ULIMWENGUNI, NA WATU WAKAPENDA GIZA KULIKO NURU; kwa maana matendo…
SWALI: Biblia inaposema “Adhabu ya amani yetu ilikuwa juu yake”, ina maana gani? Isaya 53:5 “Bali alijeruhiwa kwa makosa yetu, Alichubuliwa kwa maovu yetu; Adhabu ya amani yetu ilikuwa juu…
SWALI: Naomba kufahamu maudhui ya mstari huu, 1Timotheo 1:20 “Katika hao wamo Himenayo na Iskanda, ambao nimempa Shetani watu hao, ili wafundishwe wasimtukane Mungu”. JIBU: Awali ya yote, kabla ya…
Jina la Bwana na Mwokozi Yesu libarikiwe. Karibu tujifunze biblia. Je kuna utofauti wowote ya Ubatizo wa Yohana na ule wa Bwana Yesu?, Jibu ni kwamba hakuna utofauti wowote, ubatizo…
SWALI: Nini maana ya huu mstari; Mithali 28:8 “Yeye azidishaye mali yake kwa riba na faida, Humkusanyia mtu awahurumiaye maskini. JIBU: Huyo anayezungumziwa azidishiye mali zake kwa riba na faida…
Utawanyiko wa Wayunani unaozungumziwa katika Yohana 7:35 ulikuwaje? Jibu: Tuanzie kusoma mstari wa 31, ili tupate maana kamili.. Yohana 7:31 “Na watu wengi katika mkutano wakamwamini; wakasema, Atakapokuja Kristo, je!…