DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

SHUKURU KWA KILA JAMBO.

Shalom, mtu wa Mungu karibu tujifunze Neno la Mungu, Taa iongozayo miguu yetu..na mwangaza wa njia zetu… Leo tutajifunza juu ya Kumshukuru Mungu kwa kila jambo… Kwanini tunapaswa tumshukuru Mungu…

DHAMBI ZINAZOTANGULIA NA ZINAZOFUATA.

Biblia inatueleza kuwa kuna aina mbili za dhambi, zipo dhambi zinazomtangulia mtu kwenda hukumuni na zipo dhambi zinazomfuata mtu hukumuni. Na leo tutaona hizi dhambi ni zipi: 1Timotheo 5:24 ‘Dhambi za…

LILE TUMAINI LILILO NDANI YETU LINAPOULIZIWA.

Jina la mwokozi wetu YESU KRISTO lisifiwe daima, Nakukaribisha ndugu mpendwa tujifunze maandiko, Leo tutangazia kwa sehemu kitabu cha waraka wa kwanza wa Petro tutaona Neno kuu la msingi ambalo mtume Petro…

MPENDE JIRANI YAKO KAMA NAFSI YAKO.

Luka 10: 25 “Na tazama, mwana-sheria mmoja alisimama amjaribu; akisema, Mwalimu, nifanye nini ili niurithi uzima wa milele? 26 Akamwambia, Imeandikwa nini katika torati? Wasomaje? 27 Akajibu akasema, Mpende Bwana Mungu wako kwa…

NITAONGEZAJE NGUVU ZANGU ZA ROHONI?

Hapo nyuma, kabla sijampa Kristo maisha yangu, na wakati ambao bado ni mchanga kabisa wa masuala ya wokovu, niliaminishwa kuwa kigezo kikuu kinachomtambulisha mtu huyu kuwa anazo nguvu nyingi za…

JINA LA MUNGU NI LIPI?

Shalom mtu wa Mungu. Wengi wanajiuliza swali hili, jina la Mungu hasaa ni lipi kwasababu kwenye biblia tunaona yanatajwa majina mengi tunashindwa kuelewa ni jina lipi la kusimamia. Ni kweli…

UFUNUO: Mlango wa 9.

Shalom.Karibu katika mwendelezo wa kitabu cha Ufunuo, ni vizuri ukakisoma kitabu hichi peke yako kwanza kwa utulivu, na katika uwepo wa Bwana, na kufuatilia mfululizo huu tangu mwanzo ili tunapoendelea…

UFUNUO:Mlango wa 8

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe.Karibu katika mwendelezo wa kitabu cha Ufunuo, leo kwa Neema za Bwana tutajifunza sura hii ya 8. Ufunuo 8:1 ‘Hata alipoifungua muhuri ya saba,…

UKWELI UNAOPOTOSHA.

Jina la Bwana wetu Yesu litukuzwe!..Maandiko yanatuambia Yesu ndiye njia, kweli na Uzima mtu hafiki kwa Baba isipokuwa kwa njia yake yeye. Ikiwa na maana kuwa hakuna namna yoyote ya…

MADHARA YA KUPUUZIA MAAGIZO YA MSINGI MUNGU ANAYOKUPA.

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo lisifiwe, nakukaribisha mtu wa Mungu tujifunze Maneno ya uzima, na leo tutajifunza ni kwanini Mungu alitaka kumuua Musa mwanzoni kabisa mwa huduma yake japokuwa…