DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Tajiri na maskini hukutana pamoja; BWANA ndiye aliyewaumba wote wawili.

SWALI: Nini maana ya huu mstari?  Mithali 22:2 Tajiri na maskini hukutana pamoja;  BWANA ndiye aliyewaumba wote wawili. JIBU: Pamoja na kwamba kutakuwa na kutokuelewana baina ya makundi haya ya…

Je! biblia inajichanganya katika 1Petro 2:13 na Matendo 5:29.

Swali: Katika 1Petro 2:13 Tumeambiwa tutii kila kitu tunachoamriwa na wafalme, lakini katika Matendo 5:29, tunaona Petro huyo huyo hawatii wenye mamlaka, anasema imetupasa kumtii Mungu kuliko wanadamu..Je hapo panakaaje?…

Mambo yale yaliyo mbali, na yale yaendayo chini sana,

SWALI: Je! maneno tunayoyasoma katika Mhubiri 7:24, yana maana gani? Mambo yale yaliyo mbali, na yale yaendayo chini sana, ni mtu yupi awezaye kuyatafuta? JIBU:  Hapo Kuna vitu viwili..  1)…

SEMA KWA LUGHA NYINGINE.

Jina la Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze na kuyatafakari maandiko pamoja. Leo napenda tujifunze juu ya lile tukio maarufu lililotokea siku ile ya Pentekoste, ambapo tunasoma…

HUDUMA YA MALAIKA WAWILI.

Nakusalimu katika jina la Bwana wetu Yesu Kristo, ni wasaa mwingine tena Bwana ametupa neema ya kuutafuta uso wake. Karibu tujifunze Neno la Mungu. Lipo funzo kubwa sana Bwana anatufundisha…

NIMEAZIMIA KUWAKUSANYA MATAIFA. NIPATE KUWAMWAGIA GHADHABU YANGU

Sefania 3:8 “Basi ningojeni, asema Bwana, hata siku ile nitakapoondoka kuteka mateka; maana nimeazimia kuwakusanya mataifa, ili nizikutanishe falme, nipate kuwamwagia ghadhabu yangu; naam, ukali wote wa hasira yangu; kwa…

Konzo la Ng’ombe ni nini? (Waamuzi 3:31).

Swali: Lile Konzo la Ng’ombe Shamgari alilowapigia Wafilisti mia sita lilikuwa ni nini? Jibu: Tusome, Waamuzi 3:30 “Basi Moabu alishindwa siku hiyo chini ya mikono ya Israeli. Nayo nchi ikawa…

Miungu wasio na kikao pamoja na wenye mwili.

SWALI: Wale wachawi walikuwa na maana gani waliposema.."Miungu wasio na kikao pamoja na wenye mwili"?. Danieli 2:11 Ni neno la ajabu, hili analolitaka mfalme, wala hapana mwingine awezaye kumwonyesha mfalme…

MAHANAIMU (Jeshi la Mungu)!.

Jina la Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze biblia Neno la Mungu wetu... Yakobo baada ya kuondoka kwa Labani, alipokuwa njiani maandiko yanasema alikutana na Jeshi la…

Je huduma za mitume na manabii, zinaendelea kufanya kazi hadi sasa?

SWALI: Je huduma za mitume na manabii, zinaendelea kufanya kazi hadi sasa? Kwani kunaendelea mabishano baina ya wakristo baadhi, wengine wanasema kwasasa huduma hizo hazitendi kazi tena kufuatana na andiko…