DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

AINA TATU ZA WAKRISTO.

Nakusalimu katika jina la Bwana wetu Yesu Kristo. Karibu tujifunze maneno matukufu ya uzima, maadamu tumeiona leo. Wakristo wameganyika katika makundi makuu matatu, makundi hayo yanafananishwa na miti ya matunda.…

Swali: Je Ni sahihi kwa Mkristo kupeleka kesi mahakamani?

Jibu: Kwanza ni muhimu kufahamu kuwa makosa yote yanastahili msamaha. Hata kama tumetendewa makosa makubwa kiasi gani, mwisho wa siku ni lazima tusamehe, hiyo ndio sheria ya Imani. Hakuna ukristo…

Je mtu anayeua anabeba dhambi zote za yule aliyemuua?

Jibu: Si kweli kwamba mtu anayeua anakuwa anazibeba dhambi zote za yule aliyemuua, na kwamba yule aliyeuawa yupo huru, (anakuwa hana dhambi tena huko anakokwenda). Kama mtu atamkataa Mungu na…

TUSIWE WATU WA KUPUNGUKIWA AKILI.

Yeremia 4:22 "Kwa maana watu wangu ni wapumbavu, hawanijui; ni watoto waliopungukiwa na akili, wala hawana ufahamu; ni wenye akili katika kutenda mabaya, bali katika kutenda mema hawana maarifa". Shalom, …

Tofauti kati ya lijamu na hatamu ni ipi kibiblia?

Zaburi 32:9 :Msiwe kama farasi wala nyumbu, Walio hawana akili. KWA MATANDIKO YA LIJAMU NA HATAMU Sharti kuwazuia hao, au hawatakukaribia:. Hatamu ni kifaa, kinachotumika kumwongozea farasi, ikijumuisha ule mkanda…

NAWE UTAGEUZWA KUWA MTU MWINGINE.

Mfalme wa kwanza wa Israeli alikuwa anaitwa Sauli. Mungu alivyomchagua mtu huyu, ilikuwa ni nje ya matarijio ya waisraeli wengi sana. Kwasababu ikumbukwe hapo kabla walikuwa hawana mfalme, hivyo baada…

Kwanini biblia inaitaja mara kwa mara dhahabu ya Ofiri?

SWALI:Kwanini biblia inaitaja mara kwa mara dhahabu ya Ofiri? Umuhimu wake ni upi? Ofiri ni eneo, lililokuwa maarufu zamani enzi za biblia kwa biashara ya madini na vito, eneo hili…

Kwanini Mungu aliwaagiza wana wa Israeli wasikisaze chakula?

SWALI: Kwanini Mungu aliwaagiza wana wa Israeli siku ile ya kuondoka wasikisaze chakula hata asubuhi? JIBU: Kusaza chakula maana yake ni kukibakisha ili ukimalizie kukila baadaye au kesho yake...Na hiyo…

NI SAA KUMI NA MBILI (12) TU, ZA KRISTO KWAKO.

Shalom. Bwana Yesu alisema maneno haya; Yohana 11:9 “…… Je! Saa za mchana si kumi na mbili? Mtu akienda mchana hajikwai; kwa sababu aiona nuru ya ulimwengu huu. 10 Bali…

“Shinikizo” ni nini kibiblia, Na maana yake rohoni ni ipi?

Shinikizo ni shimo au kisima fulani kilichotengenezwa mahususi  kwa ajali ya kukamulia zabibu,. Zabibu zinavyokamuliwa leo ni tofauti jinsi zilivyokamuliwa zamani, leo hii ni mashine ndio zinazotumika kukamua juisi. Lakini…