DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Jiepushe na tamaa ya Mali/kupenda fedha.

Kwa namna ya kawaida fedha haina ubaya wowote, ni nyezo ambayo Mungu aliiruhusu iwepo na itumiwe ili kuendesha kushughuli zote za kijamii. Mhubiri 19:19 “…Na fedha huleta jawabu la mambo…

Mshulami ni msichana gani?

Mshulami ni jina Sulemani alilompa msichana ambaye alikuwa naye katika mahusiano kama tunavyosoma katika kitabu cha wimbo ulio bora, alimwita hivyo kutokana na kuwa eneo alilotokea lilitwa  Shulami, Wimbo 6:13…

HIZI NI NYAKATI ZA KUJIINGIZA KWA NGUVU.

Luka 16:16 “Torati na manabii vilikuwapo mpaka Yohana; tangu wakati huo habari njema ya ufalme wa Mungu hutangazwa, na kila mtu hujiingiza kwa nguvu”. Nataka uone hicho kifungu cha mwisho,…

JUKUMU LA MUHIMU LINALOKWEPWA NA WENGI.

Jukumu moja na kuu tulilonalo sisi ni KUMJUA SANA YESU KRISTO. Wengi wanalikwepa jukumu hili. Na Zaidi wanapenda sana kutafuta kuwajua watumishi wa Yesu kuliko ya Yesu mwenyewe. Waefeso 4:13…

KUZALIWA KWA YESU.

kuzaliwa kwa Yesu kulikuwaje? Mathayo 1:18 “Kuzaliwa kwake Yesu Kristo kulikuwa hivi. Mariamu mama yake alipokuwa ameposwa na Yusufu, kabla hawajakaribiana, alionekana ana mimba kwa uweza wa Roho Mtakatifu. 19…

USHIRIKINA NA MADHARA YAKE.

Ushirikina na madhara yake, rohoni ni yapi? Ushirikina ni kitendo cha kwenda kutafuta msaada wa kiroho au wa kimwili katika mamlaka ya giza. Nikisema mamlaka ya giza namaanisha kwa shetani…

DUNIA HII ITAHARIBIWA KABISA.

Isaya 24:3 “Dunia hii itafanywa tupu kabisa, na kuharibiwa kabisa; maana Bwana amenena neno hilo. 4 Dunia inaomboleza, inazimia; ulimwengu unadhoofika, unazimia; watu wakuu wa dunia wanadhoofika. 5 Tena dunia…

WATASHINDANA LAKINI HAWATAKUSHINDA

Watapigana nawe lakini hawatakushinda maana yake ni nini? Yeremia 1:18 “Maana, tazama, nimekufanya leo kuwa mji wenye boma, na nguzo ya chuma, na kuta za shaba, juu ya nchi yote;…

JIFUNZE NENO LA MUNGU KWA BIDII ZOTE.

Jina la Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo, libarikiwe!. Karibu tujifunze Biblia. Ndege tunazozipanda zinazoruka angani, hazijaundwa na mtu mmoja, kuna jopo kubwa sana la watu wamechangia maarifa katika kuiunda…

WAMWENDEA YESU KWA KUSAFIWA lyrics na historia

WAMWENDEA YESU KWA KUSAFIWA lyrics (Are you washed in the Blood?) Wimbo huu uliandikwa na ndugu mmoja aliyeitwa Elisha Hoffman mwaka 1878, huko Ohio Marekani. Baada ya kuhitimu katika chuo…