DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

JE BIKIRA MARIAMU ALIKUFA?

Hakuna mahali popote Biblia imerekodi kifo cha Mariamu, wala  hakuna  mahali popote Biblia imerekodi kifo cha Mtume Petro, wala Yusufu mume wake Mariamu, wala Mtume Paulo, wala Mtume Adrea wala…

JE NI KWELI BWANA YESU SIKU YA KURUDI ATAFIKIA ISRAEL

Jambo moja linalowachanga watu wengi wa Mungu, ni kutokujua Ujio wa Yesu utakuwaje. Ujio wa Bwana Yesu umegawanyika katika sehemu kuu 3. nazo ni UJIO WA KWANZA, UJIO WA PILI…

Jehanamu ni nini?

Jehanamu au Jehanum ni Neno lenye chimbuko la  kiyunani Gehenna, ambalo limetafsiriwa kutoka katika lugha ya kiyahudi ge-hinnom Ikiwa na maana bonde la mwana wa Hinomu.. Hili ni eneo lililokuwa…

KANISA NI NINI?

Kanisa ni nini?..kanisa la Mungu ni kitu gani? hili ni swali linalowachanganya watu wengi ikidhaniwa kuwa Kanisa ni  jengo. Lakini hiyo sio maana halisi ya kanisa. Neno kanisa limetokana na…

JE! UNAYO NAFASI MBINGUNI?

Umewahi kujiuliza kwanini Bwana Yesu alisema, Anakwenda kutuandalia makao? (Yohana 14:2), Na kwanini mbinguni kunafananishwa na karamuni?...Ni dhahiri kuwa utaratibu wa maandalizi ya karamu unafanana sana na utaratibu wa kuingia…

NI KWANINI MUNGU HAONEKANI?

(Kwanini Mungu hatumuoni?)....Hili ni swali ambalo karibu kila mtu anajiuliza au alishawahi kujiuliza pengine kipindi Fulani nyuma, kwanini Mungu hajidhihirishi wazi wazi tukamwona kama tunavyoonana sisi kwa sisi?, au kwanini…

KWANINI YESU KRISTO NI MWANA WA DAUDI?

Shalom, Mtu wa Mungu, karibu tujifunze biblia, Jukumu kubwa tulilopewa miongoni mwa mengi ni jukumu la kumfahamu sana YESU KRISTO, Na lengo kuu la kumfahamu sio kwasababu yeye anauhitaji sana…

MWAKA WA BWANA ULIOKUBALIWA.

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, Leo ni siku nyingine Bwana ametupa neema  mimi na wewe kuiona, hivyo ni wajibu wetu kiutimia vizuri siku yetu kwa kujifunza maneno yake…

UKristo Ni Nini?

Ili kuelewa Nini maana ya Ukristo, tutafakari kwanza maana ya Neno UTAIFA...Neno utaifa limetokana na Nomino Taifa...Kwahiyo kitendo chochote kinachofanyika kinachohusisha mapenzi na Taifa, kitendo hicho kinaitwa Utaifa.. Tukirudi katika…

Biblia ni nini?

Biblia ni nini? Ni neno la Kigiriki, lenye maana ya "mkusanyiko wa vitabu vitakatifu"..kikiwa kitabu kimoja kinaitwa Biblion lakini vikiwa vingi vinaitwa Biblia.. Hivyo Biblia ni mkusanyiko wa vitabu 66…