DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Dini ni nini, na Imani ya kweli ni ipi?

Dini ni nini? Dini ya kweli ni ipi? na Imani ya kweli ni ipi? Dini ni tendo linalotokana na Imani fulani (mambo ya rohoni), pale tu mtu anapoamini uwepo wa…

YESU KWETU NI RAFIKI

Yesu kwetu ni rafiki, hwambiwa haja pia;tukiomba kwa Babaye, maombi asikiyaLakini twajikosesha, twajitweka vibaya; kwamba tulimwomba Mungu, dua angesikia. Una dhiki na maonjo? Una mashaka pia.Haifai kufa moyo, dua atasikia.Hakuna…

Ni udhaifu gani ulikuwa katika macho ya Lea mke wa Yakobo?

SWALI: Mwanzo 29:16 "Labani alikuwa na binti wawili, jina la mkubwa ni Lea, na jina la mdogo ni Raheli. 17 Naye Lea macho yake yalikuwa DHAIFU, lakini Raheli alikuwa mzuri…

Je ni dhambi kuangalia movie?

Kama mkristo ili uweze kuenenda  kikamilifu katika safari yako ya wokovu hapa duniani bila dosari zozote zisizokuwa na sababu, ipo mistari miwili ya kuzingatia.. Wa kwanza ni huu: Wakolosai 3:17…

Roho za Wanyama zinakwenda wapi baada ya kifo? Je! Watafufuliwa?

JIBU: Uumbaji wa Mungu umegawanyika katika sehemu kuu mbili…   Sehemu ya kwanza: Ni Viumbe vya kimbinguni …Viumbe hawa wa kimbinguni nao wamegawanyika katika sehemu kuu mbili, nao ni malaika…

Je! ni kweli Bwana alimaanisha hatutaonja mauti kabisa tukimwamini?(Yohana 11:25)

Naomba ufafanuzi wa huu mstari Yohana 11:25-26"  Yesu akamwambia, Mimi ndimi huo ufufuo, na uzima. Yeye aniaminiye mimi, ajapokufa, atakuwa anaishi;naye kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele. Je!…

KUONGEZEKA KWA MAARIFA.

Habari ya uzima wako mtu wa Mungu, katika hizi siku za mwisho na za hatari kama bado upo nje ya wokovu jiulize sana, Na kama bado unaishi kwa kushikilia mapokeo…

UMUHIMU WA ROHO MTAKATIFU KATIKA KUZAA MATUNDA.

Shalom mtu wa Mungu, karibu tutafakari maandiko pamoja.   Biblia inasema katika Kitabu cha Yohana 15:16 kwamba “Si ninyi mlionichagua mimi, bali ni mimi niliyewachagua ninyi; nami nikawaweka mwende mkazae…

MAFUMBO YA MUNGU.

Nakusalimu katika jina la Bwana wetu Yesu Kristo, karibu tuyatakari maandiko pamoja, lakini kabla hatujaendelea mbele zaidi naomba ulitafakari fumbo hili fupi kwa muda kidogo, ukipata au ukikosa jibu endelea…

TOFAUTI KATI YA SHERIA YA ROHO WA UZIMA NA SHERIA YA DHAMBI NA MAUTI!

Shalom! Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze maandiko, Katika kitabu cha Warumi Mlango wa 7, tunaona biblia imetaja kuwepo kwa vitu viwili, ambapo cha kwanza ni SHERIA…