Nakusalimu katika jina tukufu sana la mwokozi wetu Yesu Kristo, Nakualika katika kuyatafakari maneno ya uzima. Leo tutajifunza siri mojawapo iliyokuwa nyuma ya watu wa zamani, ambayo tukiitumia na sisi…
Jibu: Kushuhudia kunatokana na neno “Ushuhuda”. Mtu anayetoa taarifa ya jambo fulani alilolishuhudia au aliloshuhudiwa basi hapo anatoa ushuhuda. Kwamfano mtu anaweza kuona ajali ya gari na akaenda kuwaelezea watu…
Je! ni sahihi kwa mkristo kupokea fedha kutoka kwa mtu anayefanya kazi haramu kama za uuzaji wa dawa ya kulevya, wizi au bangi? Jibu: Kama wewe ni mtu uliyeokoka, aidha…
SWALI: Nini maana ya haya maneno Mungu aliyomwambia Ayubu kuhusiana na tabia za Mbuni? Ayubu 39:13 Bawa la mbuni hufurahi; Lakini mabawa yake na manyoya yake, je! Yana huruma? 14…
Swali: Katika Wagalatia 3:13 maandiko yanasema Bwana Yesu alisulubiwa juu ya mti, lakini tukirejea tena Yohana 19:19, tunaona biblia inasema Bwana alisulubishwa juu ya msalaba.. je maumbile ya huo msalaba…
Majukumu ya Mzazi ni kumlea mtoto katika njia inayompasa, kwasababu hekima ya Mungu inasema, hataiacha njia hiyo hata atakapokuwa mzee. Mithali 22:6 “Mlee mtoto katika njia impasayo, Naye hataiacha, hata…
Usiwe na Uchungu na Mke wako!. (Masomo maalumu kwa Wanandoa)-UPANDE WA WANAUME/ MAJUKUMU YA WANAUME. Neno la Mungu linasema.. Wakolosai 3:19 “Ninyi waume, wapendeni wake zenu MSIWE NA UCHUNGU NAO”…
SWALI: Naomba kufahamu maana ya hivi vifungu katika maandiko Mhubiri 9:7-10 Wewe enenda zako, ule chakula chako kwa furaha, unywe mvinyo yako kwa moyo wa kuchangamka; kwa kuwa Mungu amekwisha…
Jibu: Turejee, Zaburi 38:10 “Moyo wangu unapwita-pwita, Nguvu zangu zimeniacha; Nuru ya macho yangu nayo imeniondoka”. Kupwita-pwita maana yake, ni “kudunda kwa haraka”, hivyo hapo biblia iliposema “kuwa moyo wangu…
Jina la mwokozi wetu Yesu Kristo litukuzwe milele na milele. Nakualika Tena wakati huu tujifunze maneno ya uzima wa Roho zetu. Wengi wetu tunavutiwa na maisha ya Yesu alipoanza huduma,…