Nakusalimu katika jina kuu sana la Bwana wetu Yesu Kristo, karibu katika kujifunza Neno la Bwana. Bado tupo katika mwendelezo wa thawabu mbalimbali za Mungu, na vigezo anavyovitumia kuzitoa. Hii…
Kristo atukuzwe! Kama dhambi ilikuja kupitia mtu mmoja (Adamu), na kila aliyezaliwa ameirithi, kwanini Neema iliyoletwa na Bwana Yesu hatujairithi, yaani wote wanaozaliwa wasiwe na dhambi? Jibu: Ni kweli maandiko…
Shalom, huu ni mfululizo, wa Makala ambazo zinaeleza vigezo ambavyo Mungu, atavitumia kuwapa watu wake thawabu mbalimbali, au atakavyovitumia kuwakaribisha katika ufalme wake, hii ni sehemu ya tatu, ikiwa hukupitia…
Tumetazama, wapo watu ambapo siku ile ya hukumu, watalipwa thawabu sawa na wale ambao wameteseke Maisha yao yote katika kumtumikia Mungu. Na kigezo chenyewe kwanini Mungu afanye hivyo, tumeshakiona katika…
Bwana Yesu asifiwe, katika Makala hizi, tutazama vigezo ambavyo Mungu atavitumia kutoa thawabu zake, tutakapofika kule ng’ambo, Hii itatusaidia kuzidisha hamasa zetu katika kumtumikia Mungu, kama vile mtume Paulo, alivyoliona…
Jibu: Tusome, Yohana 11:32 “ Basi Mariamu alipofika pale alipokuwapo Yesu, na kumwona, alianguka miguuni pake, akamwambia, Bwana, kama ungalikuwapo hapa, ndugu yangu hangalikufa. 33 Basi Yesu alipomwona analia, na…
Unaweza ukajiuliza Je shetani anaweza kuwazuia watu wasihubiri injili? Jibu ni ndio Tusome, 1 Wathesalonike 2:17 “Lakini ndugu, tukiwa tumefarakana nanyi kwa kitambo, kwa uso si kwa moyo, tulizidi kutamani…
Akiki ni aina ya madini inayokaribia kufanana kimwonekano na madini ya Marijani (Rubi). Kwa lugha ya kiingereza madini ya Akiki yanajulikana kama “Sardius”. (Tazama picha juu). Na madini ya Yaspa…
Zumaridi ni aina ya madini yenye rangi ya kijani, Madini haya kimwonekano ni mazuri sana, Matumizi ya madini haya ni kama yale ya Marijani (Rubi) pamoja na Yakuti (Sapphire). Yote…
Yakuti ni aina ya madini inayokaribiana kufanana sana na madini ya Rubi (yaani Marijani). Madini ya Yakuti kwa lugha ya kiingereza ndio yanajulikana kama SAPPHIRE. Kazi yake ni kutengenezea vito…