DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Mtu wa kwanza kufa alikuwa nani?

Je! Mtu wa kwanza kufa alikuwa nani?. Jibu: Kulingana na maandiko mtu wa kwanza kufa alikuwa ni HABILI, mwana wa ADAMU. Mwanzo 4:8 “Kaini akamwambia Habili nduguye, . Ikawa walipokuwapo…

USITAZAME NYUMA!

Je! Ni kosa tu la kugeuza shingo na kutazama nyuma ndilo lililomgharimu mke wa Lutu maisha?.. Bila shaka Mungu asingeweza kumhukumu kwa kosa hilo, ni wazi kuwa kuna jambo lingine…

FUMBO ZA SHETANI.

Kati ya yale makanisa 7 tunayoyasoma katika kitabu cha Ufunuo, Kanisa la Thiatira, lilikuwa ni la tofauti sana, kwani lenyewe lilisifiwa sana na Bwana kwa jinsi lilivyokuwa linapanda viwango, siku…

NINI MAANA YA KUWA MKRISTO?

Jina la Bwana Yesu Kristo libarikiwe. Je unajua ni kwanini Bwana Yesu aliwaagiza Mitume wake pamoja na sisi wote kwamba tuende ulimwenguni kote tukawafanye watu wote kuwa WANAFUNZI na si…

Kibiriti ni kitu gani? kama kinavyozungumziwa kwenye maandiko?

Kibiriti tofauti na kinavyojulikana leo kwamba, ni kipande kidogo cha boksi kilichojaa chiti zinazotumika katika kuwashia moto. Lakini tafsiri halisi ya “kibiriti” au “kiberiti” sio hiyo. Kibiriti ni aina ya…

JE! USIPOTIMIZA NADHIRI ZAKO ZOTE KWA BWANA. HAWEZI KUKUSAMEHE?

Hili ni swali ambalo linaulizwa na wengi,  hususani watu ambao walimwekea Mungu nadhiri huko nyuma lakini mwisho wa siku wamejikuta hawawezi kuzitoa. Sasa kabla ya kwenda kuona kama msamaha upo…

REKEBISHA YAFUATAYO ILI UCHUMI WAKO UKAE SAWA.

Jina la Bwana Yesu libarikiwe, karibu tujifunze biblia, Neno la Mungu wetu. Leo tutajifunza, mambo Matatu ambayo, kama Mkristo ukiyarekebisha hayo basi uchumi wako utaimarika zaidi. 1. KUWA MWAMINIFU KWA…

Lumbwi ni nini katika biblia?

Lumbwi ni nini katika biblia?

Mizimu ni nini?

Ni kweli mizimu ipo?, Na tunawezaje kujihadhari nayo?. Katika tafsiri inayojulikana na wengi ni kwamba Mzimu/Mizimu ni roho za watu waliokufa ambazo zinaweza kurudi na kuwatokea wengi. Roho hizo zinaweza…

Kwanini Eliya alijulikana kama “Eliya Mtishbi”?

Je! Mtishbi ni jina la Baba yake au? Jibu: Tishbi sio jina la mtu bali la mji, kama vile ulivyo mji wa Samaria au Nazareti. Kwahiyo kama vile mtu aliyetoka…