Swali: Katika 1Samweli 17:49, tunasoma kuwa ni Daudi ndiye aliyemwua Goliathi, lakini katika 2Samweli 21:19, tunaona biblia inamtaja mtu mwingine kabisa aliyeitwa Elhanani kuwa ndiye aliyemwua Goliathi, je kiuhalisia ni…
Swali: Napenda kujua tunampendaje Bwana Mungu wetu kwa mioyo yetu yote, kwa roho zetu zote, kwa nguvu zetu zote, na kwa akili zetu zote kulingana na Marko 12:30. Jibu: Tuanze…
Jibu: Tusome, 2 Wathesalonike 2:8 “Hapo ndipo atakapofunuliwa yule ASI ambaye Bwana Yesu atamwua kwa pumzi ya kinywa chake, na kumwangamiza KWA UFUNUO WA KUWAPO KWAKE” Andiko hili linamhusu Mpinga…
Swali: Je kuna tofauti gani ya Mola na Mungu, na je sisi wakristo ni sahihi kutumia Jina Mola badala ya Mungu? Jibu: Neno Mola, limeonekana mara kadhaa katika biblia… Matendo…
Mithali 17:12 “Afadhali mtu akutwe na dubu aliyenyang'anywa watoto wake, Kuliko na mpumbavu katika upumbavu wake”. Mpumbavu kibiblia ni mtu yeyote ambaye amekataa sheria ya Mungu na Maarifa. Yaani kwa…
SWALI: Nini maana ya huu mstari? Mithali 22:2 Tajiri na maskini hukutana pamoja; BWANA ndiye aliyewaumba wote wawili. JIBU: Pamoja na kwamba kutakuwa na kutokuelewana baina ya makundi haya ya…
Swali: Katika 1Petro 2:13 Tumeambiwa tutii kila kitu tunachoamriwa na wafalme, lakini katika Matendo 5:29, tunaona Petro huyo huyo hawatii wenye mamlaka, anasema imetupasa kumtii Mungu kuliko wanadamu..Je hapo panakaaje?…
SWALI: Je! maneno tunayoyasoma katika Mhubiri 7:24, yana maana gani? Mambo yale yaliyo mbali, na yale yaendayo chini sana, ni mtu yupi awezaye kuyatafuta? JIBU: Hapo Kuna vitu viwili.. 1)…
Jina la Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze na kuyatafakari maandiko pamoja. Leo napenda tujifunze juu ya lile tukio maarufu lililotokea siku ile ya Pentekoste, ambapo tunasoma…
Nakusalimu katika jina la Bwana wetu Yesu Kristo, ni wasaa mwingine tena Bwana ametupa neema ya kuutafuta uso wake. Karibu tujifunze Neno la Mungu. Lipo funzo kubwa sana Bwana anatufundisha…