DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Je Musa kumwoa Sipora, Mkushi alifanya dhambi?

SWALI: Katika Ezra 9:12 na Kumbukumbu 7:3, Tunaona Bwana Mungu aliwakataza waisraeli kuoana na watu wa mataifa. Je watumishi hawa walioolewa au kuoa mataifa walifanya dhambi?. Esta kuolewa na mfalme…

TENDA AGIZO LA YESU, HILO NDIO LITAKALOKULINDA.

Shalom, nakusalimu katika jina kuu la Bwana wetu Yesu Kristo, karibu tuyatafakari maneno ya uzima pamoja. Muda mfupi kabla ya Bwana Yesu kwenda kutukuzwa na maelfu ya watu kule Yerusalemu…

EPUKA KUUNDA MATARAJIO YAKO, KWENYE AHADI ZA MUNGU.

Kuna swali limeulizwa na wasomaji wetu hapa.. “Bwana Yesu asifiwe mtumishi, pole na hongera na majukumu, mtumishi Mimi nilitaka kufahamu kuhusu Yohana mbatizaji, yeye ndiye aliyembatiza Yesu mwana wangu tena…

NI NINI TUNAJIFUNZA KWA DEMA NA MARKO?

Biblia inatuonyesha Dema na Marko walikuwa ni watenda kazi wazuri sana pamoja na Mtume Paulo, Tunayasoma hayo katika kitabu cha Filemoni 1:24 “na Marko, na Aristarko, na Dema, na Luka,…

TUMEKUWA TAMASHA KWA DUNIA; KWA MALAIKA NA WANADAMU.

Paulo alipouna utumishi wake, na wenzake jinsi ulivyo, na kuona magumu anayoyapitia katika huduma yake, mwisho wa siku alisema maneno haya.. 1Wakorintho 4:9 “Maana nadhani ya kuwa Mungu ametutoa sisi…

MAUAJI YA HALAIKI NDANI YA KANISA.

Mwaka 1994 kulizuka vita mbaya ya kikabila huko nchini Rwanda, Vita hivyo vilidumu kwa miezi mitatu tu, lakini maafa yaliyotokea, yalizidi hata vita zilizopiganwa kwa miaka mingi katika mataifa mengine.…

PINDO LA VAZI LAKE SASA LIMEREFUSHWA.

Isaya, alionyeshwa maono mengine ya ajabu mbinguni, Pengine hakuelewa umuhimu na maana ya maono yale, lakini sisi wa leo ndio tunaweza kuelewa vizuri.. Alipochukuliwa katika maono mbinguni alimwona Mungu akiwa…

JE! NI WAPI UTAPOKEA HISIA ZA KWELI ZA KI-MUNGU?

Yapo mambo mengi yasiyo ya kawaida aliyoyafanya Bwana Yesu..Lakini kuna mojawapo ningependa tujifunze leo.. Na jambo lenyewe linapatikana katika habari hii.. Marko 7:32 “Wakamletea kiziwi, naye ni mwenye utasi, wakamsihi…

JE! HAMPOTEI KWA SABABU HII?

Jina la Bwana wetu Yesu libarikiwe daima. Karibu tuyatafakari maandiko pamoja ndugu yangu. Wakati ule masadukayo walimfuata Bwana Yesu, na kumuuliza maswali ambayo, ndio yaliyowafanya waamue kuwa  masadukayo kama walivyo…

Tofauti kati ya ufunuo, unabii na maono ni ipi?

UFUNUO Ufunuo ni jambo ambalo hapo kabla lilikuwa limesitirika au limefungwa lakini sasa limefunuliwa. Kwa mfano katika biblia, utaona, Watu wengi walishindwa kumtambua Yesu ni nani, wengine walidhani ni Yeremia,…