DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

VIFO VYA MITUME WA YESU/ JINSI MITUME WALIVYOKUFA.

Vifo vya mitume wa Yesu/ jinsi mitume walivyokufa. Mtume pekee ambaye biblia inarekodi mauaji yake jinsi yalivyokuwa ni mtume Yakobo ndugu yake  mtume Yohana. Huyu biblia inasema katika Matendo 12:1-2,…

MTINI, WENYE MAJANI.

Mtini, wenye majani ni upi? Jina kuu la mwokozi wetu Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze Neno la Mungu, Na leo tutajifunza somo lenye kichwa kinachosema “MTINI, WENYE MAJANI”..Unaweza usielewe kichwa…

Kiungo chako kimoja kikikukosesha kikate.

Bwana Yesu alikuwa na maana gani aliposema “kiungo chako kimoja kikikukosesha kikate”? JIBU: Sentensi hiyo ina tafsiri mbili..Tafsiri ya kwanza ni ya rohoni, na pili ni ya mwilini…Tukianza na tafsiri…

HERI NINYI MLIAO SASA, KWA SABABU MTACHEKA.

heri ninyi mliao sasa, kwa sababu mtacheka. Shalom, Jina la Bwana YESU libarikiwe. Ni siku nyingine tena, Bwana ametupa pumzi yake ya uhai, hivyo hatuna budi kumshukuru kwa hili, haijalishi…

KWANINI AWE PUNDA NA SI MNYAMA MWINGINE?

Kwanini awe Punda na si mnyama mwingine? Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze Maandiko. Tunaona kipindi kifupi kabla Bwana Yesu kuingia Yerusalemu aliwatuma wanafunzi wake wakamletee Mwana-punda…

BONDE LA KUKATA MANENO.

Bonde la kukata maneno ni nini? Yoeli 3:14 “Makutano makubwa, makutano makubwa, wamo katika bonde la kukata maneno! Kwa maana siku ya Bwana i karibu, katika bonde la kukata maneno.…

DHAMBI INAZAA KIFO.

Dhambi inazaa kifo. Jina la Yesu Kristo Mkuu wa Uzima.. libarikiwe!. Bwana Yesu alisema.. Yohana 8:33 “Wakamjibu, Sisi tu uzao wake Ibrahimu, wala hatujawa watumwa wa mtu wakati wo wote;…

KWANINI BWANA YESU ALISULUBIWA NA WEZI WAWILI?

Naomba kuuliza mtumishi ni Kwanini Yesu alisulubiwa na wezi wawili pale msalabani? JIBU: Ni kweli Ilikuwa inajitosheleza kabisa Bwana wetu YESU kufa mwenyewe pale msalabani, lakini kulikuwa na sababu nyingine…

UPAKO NI NINI?

Upako ni nini? Upako wa Roho Mtakatifu au  kwa kiingereza (anointing of the Holy spirit). Ni neno lenye tafsiri pana kidogo. Linaloweza kumaanisha Nguvu au uwezo wa kipekee mtu anaoupekea…

KIJITO CHA UTAKASO.

Kijito cha Utakaso, Ni kijito cha  Damu ya Yesu, kidhihirishwacho kwa ubatizo wa maji mengi..Kama vile Maji ya farakano yalivyotumika katika Agano la kale kutakasa, katika Agano jipya yanatumika maji…