SWALI: Nifanye nini ili niwe nina uhakika kuwa hata nikifa ghafla leo hii, nina uhakika wa kwenda mbinguni kwa asilimia zote? JIBU: Moja ya swali ambalo ukiwauliza wakristo wengi watakujibu…
Na mkia wake wakokota theluthi ya nyota za mbinguni, na kuziangusha katika nchi. Shalom. Ni siku nyingine tena tumepewa na Bwana. Karibu tujifunze Biblia. Leo tutajifunza njia mojawapo shetani anayotumia…
MIILI YA UTUKUFU ITAKUWAJE?: Bwana Yesu alipofufuka, alifufuka na mwili wa Asili..Na kisha baada ya kufufuka tu, mwili wake ule ukabadilishwa na kuwa wa utukufu. Sasa fahari ya miili ya…
Filipo na Nathanaeli, walikuwa ni marafiki wa karibu sana, wote wawili maisha yao yalikuwa ni maisha ya kuifuata dini, wakichunguza habari za Masihi na kuja kwake, Walikuwa ni watu wa…
Neno la Mungu linasema katika … Warumi 14:10 “……. Kwa maana sisi sote tutasimama mbele ya kiti cha hukumu cha Mungu. 11 Kwa kuwa imeandikwa, Kama niishivyo, anena Bwana, kila…
Tukisoma kitabu cha Matendo ya mitume tunaona kikizungumza habari za matendo ya kishujaa yaliyofanywa na mitume wa Bwana, jinsi walivyofanya bidii kuieneza injili ya Kristo ulimwenguni kote, lakini pamoja na…
Shalom, Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze tena maandiko siku ya leo. Kwasababu Neno la Mungu ndio mwanga wa njia zetu na taa iongozayo miguu yetu. Maana…
Utangulizi: Wakati mwingine Mungu anaweza kutumia rangi kutufikishia sisi ujumbe fulani, mfano mara baada ya Nuhu kutoka katika Safina Mungu alimpa agano la upinde wa mvua kama ishara kuwa hatateketeza…
Je kuna mbingu ngapi? Mbingu saba ni nini?..na kama zipo 7 je mbingu ya kwanza ni ipi, mbingu ya pili ni ipi, mbingu tatu pia ni ipi? na hatimaye zote…
Shalom. Jina la kuu la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Karibu katika mwendelezo wetu unaoangazia matendo ya baadhi ya watu walioishindania imani hadi kufa bila kuiacha..Tulishawaona baadhi nyuma na Leo…