DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

DO NOT SELL YOUR INHERITANCE.

The inheritance promised to us humans is ETERNAL LIFE. And we have this promise from our God only when we believe in Jesus Christ. A person who believes in JESUS…

Ni kwa namna gani, upendo husitiri wingi wa dhambi? (1Petro 4:8).

Tusome, 1 Petro 4:8 “Zaidi ya yote iweni na juhudi nyingi katika kupendana; kwa sababu upendano husitiri wingi wa dhambi”. Awali ya yote ni muhimu kufahamu maana ya neno “kusitiri”…

Mwandamo wa mwezi/Mwezi mpya Ni nini kibiblia?

Katika biblia ukiona neno “mwandamo wa mwezi”, au “mwezi mpya”, ujue ni neno lile lile moja linalomaanisha “siku ya kwanza ya mwezi”. Katika agano la kale siku hii iliheshimiwa na…

AND THEY TOOK HIS GARMENTS,AND MADE FOUR PARTS.

John 19:23 "Then the soldiers, when they had crucified Jesus, took his garments, and made four parts, to every soldier a part; and also his coat: now the coat was without…

AKETIYE MAHALI PA SIRI PAKE ALIYE JUU.

Huu mstari una maana gani? Zaburi 91:1 “Aketiye mahali pa siri pake Aliye juu Atakaa katika uvuli wake Mwenyezi”. Maandiko hayo yanatuonyesha kumbe Mungu anao uvuli wake.  Na uvuli huo…

MESSENGER OF THE COVENANT

Blessed be the name of our Lord Jesus Christ. Welcome to the Bible. Malachi 3:1 "Behold, I will send my messenger, and he shall prepare the way before me: and…

Bushuti ni nini?

Neno Bushuti limeonekana mara moja tu katika biblia, na maana ya Neno hilo ni “Blanketi”. Waamuzi 4:18 “Yaeli akatoka kwenda kumlaki Sisera, akamwambia, Karibu Bwana wangu, karibu kwangu; usiogope. Akakaribia…

ADHABU KALI KUTOKA KWA MUNGU, ITAMPATA MTU WA NAMNA GANI?

Mithali 15:10a “Adhabu kali ina yeye aiachaye njia;..”. Mapigo ya Mungu yanatofautiana na mtu na mtu.. Tofauti na tunavyodhani kuwa muuaji ndiye atakayeadhibiwa sana siku ile kuliko mtu aliyeuacha wokovu.…

Wale Nyoka wa Moto jangwani, walikuwa ni wa namna gani?

Wale Nyoka waliowadhuru wana wa Israeli jangwani walikuwa wana maumbile ya moto au?. Maana maandiko yanasema walikuwa ni Nyoka wa moto, Na kama walikuwa wenye maumvile ya moto, waliwaumaje watu…

LESSONS TO LEARN FROM THE BOOK OF PHILEMON.

Blessed be the name of our Savior Jesus Christ, may we study the Bible, the Word of God which is the light of our path and the lamp that guides…