DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

JE TATIZO LA KULA KUCHA NI ISHARA YA KUWA NA MAPEPO?

Utaachaje kula kucha?..dawa ya kuacha kula kucha ni ipi?..Je ni kweli tatizo la kula kucha haisababishwi na mapepo?..Je mtu atahukumiwa kwa kosa la kula kucha?..Karibu tujifunze pamoja kwa kuongeza maarifa…

USILETE UJIRA WA KAHABA, NYUMBANI KWA MUNGU.

Usilete ujira wa kahaba, nyumbani kwa Mungu. Shalom, Jina la Bwana Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze Maandiko.. Kuna mambo ambayo unaweza kuyasema ukadhani hayapo kabisa kwenye biblia..Lakini yapo!...Na kuna mambo…

VIFO VYA MITUME WA YESU/ JINSI MITUME WALIVYOKUFA.

Vifo vya mitume wa Yesu/ jinsi mitume walivyokufa. Mtume pekee ambaye biblia inarekodi mauaji yake jinsi yalivyokuwa ni mtume Yakobo ndugu yake  mtume Yohana. Huyu biblia inasema katika Matendo 12:1-2,…

MTINI, WENYE MAJANI.

Mtini, wenye majani ni upi? Jina kuu la mwokozi wetu Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze Neno la Mungu, Na leo tutajifunza somo lenye kichwa kinachosema “MTINI, WENYE MAJANI”..Unaweza usielewe kichwa…

Kiungo chako kimoja kikikukosesha kikate.

Bwana Yesu alikuwa na maana gani aliposema “kiungo chako kimoja kikikukosesha kikate”? JIBU: Sentensi hiyo ina tafsiri mbili..Tafsiri ya kwanza ni ya rohoni, na pili ni ya mwilini…Tukianza na tafsiri…

HERI NINYI MLIAO SASA, KWA SABABU MTACHEKA.

heri ninyi mliao sasa, kwa sababu mtacheka. Shalom, Jina la Bwana YESU libarikiwe. Ni siku nyingine tena, Bwana ametupa pumzi yake ya uhai, hivyo hatuna budi kumshukuru kwa hili, haijalishi…

KWANINI AWE PUNDA NA SI MNYAMA MWINGINE?

Kwanini awe Punda na si mnyama mwingine? Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze Maandiko. Tunaona kipindi kifupi kabla Bwana Yesu kuingia Yerusalemu aliwatuma wanafunzi wake wakamletee Mwana-punda…

BONDE LA KUKATA MANENO.

Bonde la kukata maneno ni nini? Yoeli 3:14 “Makutano makubwa, makutano makubwa, wamo katika bonde la kukata maneno! Kwa maana siku ya Bwana i karibu, katika bonde la kukata maneno.…

DHAMBI INAZAA KIFO.

Dhambi inazaa kifo. Jina la Yesu Kristo Mkuu wa Uzima.. libarikiwe!. Bwana Yesu alisema.. Yohana 8:33 “Wakamjibu, Sisi tu uzao wake Ibrahimu, wala hatujawa watumwa wa mtu wakati wo wote;…

KWANINI BWANA YESU ALISULUBIWA NA WEZI WAWILI?

Naomba kuuliza mtumishi ni Kwanini Yesu alisulubiwa na wezi wawili pale msalabani? JIBU: Ni kweli Ilikuwa inajitosheleza kabisa Bwana wetu YESU kufa mwenyewe pale msalabani, lakini kulikuwa na sababu nyingine…