DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Kunyoa denge ni kufanyaje na je ni dhambi? (Walawi 19:27).

Jibu: Tusome, Walawi 19:27 “Msinyoe denge pembe za vichwani, wala msiharibu pembe za ndevu zenu”. “Denge” ni mtindo wa kunyoa nywele kwa kuziacha nyingi upande wa juu (katikati) na kuziacha…

Madirisha ya mbinguni ni nini/yapi?(Mwanzo 7:11)

Ni neno lenye maana zaidi ya moja, kwamfano katika vifungu hivyo, Lilimaanisha chemchemi za maji zilizokuwa juu ya anga, Mungu alizifungua, mvua ikaanza kunyesha bila kipimo au kiasi, usiku na…

Kuharimishwa ni nini, na kwanini Paulo aombe hivyo?(Warumi 9:2).

Jibu: Ili tuweze kuelewa vizuri tuanzia ule mstari wa kwanza, na tusome mpaka ule wa 5 Warumi 9:1  “Nasema kweli katika Kristo, sisemi uongo, dhamiri yangu ikinishuhudia katika Roho Mtakatifu,…

Yahu ni nani? (Wimbo 8:6).

Jibu: Turejee, Wimbo 8:6 “Nitie kama muhuri moyoni mwako, Kama muhuri juu ya mkono wako; Kwa maana upendo una nguvu kama mauti, Na wivu ni mkali kama ahera. Mwako wake…

JINSI YA KUVURUGA MIPANGO YA MUNGU.

Nakusalimu katika jina la Bwana Yesu Kristo, karibu tujifunze maneno ya uzima. Kuna vitu ambavyo Mungu amepanga, vitokee kwa njia ya asili, na vingine amepanga vitokee ndani ya wakati wake…

Falaki ni elimu gani? (Isaya 47:13).

Falaki ni nini katika biblia? Jibu: Turejee, Isaya 47:12 “Simama sasa na uganga wako, na wingi wa uchawi wako, uliojitaabisha nao tangu ujana wako; labda utaweza kupata faida, labda utaweza…

Haki ni Nini katika biblia. Haki ya Mungu ni ipi?

Haki maana yake ni kitu ambacho mtu anastahili kukipata. Kwamfano kuishi ni haki ya Kila mwanadamu, Hakuna mtu anayepaswa kumzuia mwingine kuishi, kisa ni mwanamke au ni mfupi, au ni…

Nini maana ya Mithali 16:30 Afumbaye macho, kusudi lake ni kuwaza yaliyopotoka; 

SWALI: Nini maana ya Mithali 16:30 Afumbaye macho, kusudi lake ni kuwaza yaliyopotoka;  Aikazaye midomo yake hutokeza mabaya.  JIBU: Mstari huo haumaanishi mtu anayefumba macho yake, Huwa anaishia kuwaza mawazo…

Nini maana ya mbingu na nchi zitapita lakini maneno yangu hayatapita kamwe? (Mathayo 24:35).

Jibu: Turejee, Mathayo 24:35  “Mbingu na nchi zitapita; lakini maneno yangu hayatapita kamwe” Ili tuelewe vizuri, tutafakari kwanza mstari ufuatao… Waebrania 13:8 “Yesu Kristo ni yeye yule, jana na leo…

Gudulia ni nini? (1Samweli 26:11).

Jibu: Tusome, 1Samweli 26:11 “Hasha! Nisiunyoshe mkono wangu juu ya masihi 12 Basi Daudi akalitwaa lile fumo, na lile GUDULIA LA MAJI, kichwani pa Sauli; nao wakaenda zao, wala hapana…