Jina la Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujinze biblia, Neno la Mungu wetu. Yapo mambo ambayo watu wa Mungu wanatamani kuyapata au kuyafanya kwa muda waliopanga wao,…
Jina la Bwana wetu Yesu Kristo, lihimidiwe milele. Kwanini leo hii tunaona kama vile utukufu wa Mungu umepungua makanisani?..Tunamwita Yesu aponye lakini haponyi, tunamwita atende miujiza lakini hatendi, tunamwita afungue…
SWALI: Nini maana ya maandiko haya? Mithali 25:28 “Asiyetawala roho yake Ni mfano wa mji uliobomolewa, usio na kuta”. JIBU: Mstari huu unatupa picha jinsi mtu asiyeweza kuitawala roho yake…
Swali: Katika 1Wakorintho 7:36 Mtume Paulo anafundisha kuwa Mtu akiona hamtendei vyema mwanamwali wake basi aruhusu waoane”.. Je alikuwa ana maana gani kusema hivyo? (Au kwa ujumla mstari huo unamaanisha…
Biblia inasema Bwana Yesu alifundisha kwa mifano. Naomba kuelewa hiyo mifano ni nini? Na dhumuni lake lilikuwa ni lipi? Mifano, ni hadithi zinazoambatanishwa na habari husika, ili kueleza uhalisia zaidi…
Swali: Katika 1Samweli 17:49, tunasoma kuwa ni Daudi ndiye aliyemwua Goliathi, lakini katika 2Samweli 21:19, tunaona biblia inamtaja mtu mwingine kabisa aliyeitwa Elhanani kuwa ndiye aliyemwua Goliathi, je kiuhalisia ni…
Swali: Napenda kujua tunampendaje Bwana Mungu wetu kwa mioyo yetu yote, kwa roho zetu zote, kwa nguvu zetu zote, na kwa akili zetu zote kulingana na Marko 12:30. Jibu: Tuanze…
Jibu: Tusome, 2 Wathesalonike 2:8 “Hapo ndipo atakapofunuliwa yule ASI ambaye Bwana Yesu atamwua kwa pumzi ya kinywa chake, na kumwangamiza KWA UFUNUO WA KUWAPO KWAKE” Andiko hili linamhusu Mpinga…
Swali: Je kuna tofauti gani ya Mola na Mungu, na je sisi wakristo ni sahihi kutumia Jina Mola badala ya Mungu? Jibu: Neno Mola, limeonekana mara kadhaa katika biblia… Matendo…
Mithali 17:12 “Afadhali mtu akutwe na dubu aliyenyang'anywa watoto wake, Kuliko na mpumbavu katika upumbavu wake”. Mpumbavu kibiblia ni mtu yeyote ambaye amekataa sheria ya Mungu na Maarifa. Yaani kwa…