DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

JE UNA MATUMAINI YA KUPATA TENA KILE ULICHOPOTEZA?

Jina kuu la Bwana na Mwokozi wetu na wa ulimwengu, Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze Neno la Mungu ambalo ndio taa iongozayo miguu yetu na mwanga wa njia yetu. (Zab…

Je ni sahihi kumwita mtu “Mkuu”?

Katika Mathayo 9:2 tunasoma Bwana anamwita “Mkuu” Yule mtu aliyepooza ?.. Je ni sahihi na sisi kuitana wakuu? Jibu: Tusome, Mathayo 9:2 “Na tazama, wakamletea mtu mwenye kupooza, amelala kitandani;…

Je Mungu anaweza kumdanganya mtu?

Tukisoma katika kitabu cha Ezekieli 14:9 tunasoma Mungu anaweza kumdanganya Nabii, sasa swali ni je Mungu anadanganya? Jibu: Tusome Ezekieli 14:9 “Na nabii akidanganyika, na kusema neno, MIMI, BWANA, NIMEMDANGANYA…

Kwanini Paulo aungane na wale watu wanne wenye nadhiri?

SWALI: Naomba kuelewa kitendo cha Paulo, kuungana na wale watu wanne wenye nadhiri, alipoenda Yerusalemu kilimaanisha nini?. Au kinaelewekaje? JIBU: Kama tunavyosoma katika maandiko tunaona ziara ya mwisho ya mtume…

Je tutakaa mbinguni milele?

 Maandiko yanasema katika 1Wathesalonike 4:17 tutakaa na Bwana milele mbinguni, sasa iweje tushuke tena kutawala na Yesu duniani kwa miaka 1000?.. Au tutarudi tena mbinguni, baada ya utawala huo kuisha?…

Kwanini Bwana Yesu aliwaagiza wanafunzi wake wakanunue upanga?

Naomba kufahamu Kwanini Bwana Yesu aliwaagiza wanafunzi wake wakanunue upanga?. Na tunafahamu kazi ya upanga si njema? Tusome Luka 22:35 “Akawauliza, Je! Hapo nilipowatuma hamna mfuko, wala mkoba, wala viatu,…

KWANINI NI NUHU, AYUBU NA DANIELI?

Jina la Bwana na mwokozi wetu Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze biblia.. Maandiko yanasema.. Ezekieli 14:13 “Mwanadamu, nchi itakapofanya dhambi na kuniasi, kwa kukosa, nikaunyosha mkono wangu juu yake, na…

IEPUKE GHADHABU YA MUNGU.

Tofauti na inavyoaminika na wengi kuwa hasira ya Mungu au ghadhabu ya Mungu, inakuja au inachochewa sana na watu waliomwacha Mungu, wa ulimwengu huu, yaani watu ambao hawajamwamini Mwokozi Yesu.…

KIFAHAMU KIGEZO  CHA KUSAMEHEWA NA MUNGU.

Shalom nakusalimu katika jina kuu la Bwana wetu Yesu Kristo. Leo nataka tujifunze jambo la muhimu sana ambalo Bwana anataka tufahamu tunapokwenda mbele zake hususani katika kumwomba msamaha au rehema..hili…

NI KIPI KINAMZUIA MUNGU KUZUNGUMZA NA SISI?

Jina la Bwana na mwokozi wetu Yesu Kristo libarikiwe, yapo mambo mengi yanayozuia Mungu kuzungumza na sisi katika maisha yetu, lakini leo tutalizungumzia jambo moja kuu linalosababisha Bwana apunguze kusema…