DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

USIKIMBILIE TARSHISHI.

Usikimbilie tarshishi hakuna uzima Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo libarikiwe daima. Karibu tujifunze Neno la Mungu ambalo ndio mwanga wa njia yetu na Taa iongozayo miguu yetu. Kama ni…

SAA YA KUHARIBIWA IIJIAYO ULIMWENGU WOTE.

Saa ya kuharibiwa iliyo tayari kuujilia ulimwengu wote Inakuja.. Ufunuo 3:10 “Kwa kuwa umelishika neno la subira yangu, mimi nami nitakulinda, utoke katika saa ya kuharibiwa iliyo tayari kuujilia ulimwengu…

Ni kura ya aina gani waliipiga wale watu waliosafiri na Yona?

Ni kura ya aina gani waliipiga wale watu waliosafiri na Yona..hata ikamwangukia Yona? Na je! Mungu anatumia kura kuchagua watu? JIBU: Biblia haijasema ni kura gani ilipigwa pale, kama ni…

SALA YA ASUBUHI

Sala ya Asubuhi inapaswa iweje?..Na je kuna sala ya jioni pia? Hakuna sala rasmi ya Asubuhi iliyotungwa kwamba watu wafuate mfumo wake lakini ni wajibu wa kila mtu anayeitwa mkristo…

Bali wajane walio vijana ukatae kuwaandika hao.

SWALI: Biblia inamaana gani kusema   "Bali wajane walio vijana ukatae kuwaandika hao, maana, wakizidiwa na tamaa kinyume cha Kristo, wataka kuolewa;nao wana hukumu kwa kuwa wameiacha imani yao ya kwanza".(1Timotheo…

JINSI SODOMA NA GOMORA ILIVYOKUWA INAVUTIA SANA..

Jinsi sodoma na gomora ilivyokuwa inavutia sana. Mwanzo 13:10 “Lutu akainua macho yake, akaliona Bonde lote la Yordani, ya kwamba lote pia lina maji, kabla Bwana hajaharibu Sodoma na Gomora,…

Ufisadi una maanisha nini katika biblia?

Ufisadi una maanisha nini katika biblia? (Ufisadi ni nini? Ni uwizi wa fedha nyingi au?) JIBU: Neno ufisadi tofauti na linavyotafsiriwa siku hizi kwamba ni mtu anahujumu uchumi wa Taifa…

KIFO NI NINI?

Kifo ni nini?, Je ni kweli kila nafsi itaonja mauti?. Kifo sio mtu, wala si kitu bali ni "hali"...Kitu kinapopitia hali ya kukosa "UHAI". Tayari kitu hicho kinakuwa kimekufa. Kwamfano…

KUOTA UMETUMBUKIA SHIMONI.

Ogopa wadanganyifu, ambao wanakuambia suluhisho la ndoto Fulani uliyoota labda tuseme kuota umetumbukia shimoni, au umekimbizwa na nyoka,au umezama kwenye maji au unafanya uasherati na mtu usiyemjua kwamba ukanunue dawa…

JILINDE NA UNAJISI, UNA MADHARA MAKUBWA.

Najisi ni kitu gani? “Najisi” ni kitu chochote kinachokwamisha na kuundoa usafi wako wote, heshima yako yote au hadhi yako yote uliyokuwa nayo ..Kwamfano unaweza ukawa na nguo yako nyeupe,…