DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Je watu wa kale walitumia vifaa gani kuandikia?

Watu wa kale walitumia wino, na kalamu pamoja na karasati kuweka kumbukumbu zao kama tunavyofanya sasa.. Isipokuwa wino wao, kalamu zao na karatasi zao zilikuwa tofauti na hizi tunazotumia sasa..…

Huihesabu idadi ya nyota, Huzipa zote majina.

Zaburi 147:3 Huwaponya waliopondeka moyo, Na kuziganga jeraha zao.  4 Huihesabu idadi ya nyota, Huzipa zote majina.  5 Bwana wetu ni mkuu na mwingi wa nguvu, Akili zake hazina mpaka.…

Ni kosa gani alilolifanya Eli, ilihali aliwaonya watoto wake?

SWALI: Kwanini Mungu alimuadhibu Eli kwa kosa la kutowaonya watoto wake, angali tunasoma katika maandiko aliwaonya hapo kabla? Tusome; 1Samweli 2:22 Basi Eli alikuwa mzee sana; naye alisikia habari za…

MISTARI YA BIBLIA KUHUSU BARAKA

Baraka ni karama ya Mungu, na kila mmoja wetu aliyekombolewa na Yesu, ahadi hiyo ni yake. Baraka zimegawanyika mara mbili, zipo baraka za mwilini, na baraka za rohoni. Lakini kubwa…

Dina akatoka kuwaona binti za nchi. (Mwanzo 34:1)

Nakusalimu katika jina la Bwana wetu Yesu Kristo, Huu ni mfululizo wa masomo maalumu kwa ajili ya wanawake: Ikiwa hukupata chambuzi nyingine za nyuma basi fungua link hii  uweze kuzipitia…

KAMA MTUMISHI WA MUNGU, TAFUTA MAARIFA KWA BIDII.

Huu ni mfululizo wa Masomo maalumu kwa Watumishi wa Mungu (Wahubiri wa Injili, Wachungaji, Wainjilisti, Waalimu, Manabii na Waimbaji wote). Hosea 4:6 “Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa…

Nini maana ya andiko hili  “Sauti yake hamkuisikia wakati wo wote, wala sura yake hamkuiona.(Yohana 5:37)”

Jibu: Tusome, Yohana 5:37  “Naye Baba aliyenipeleka amenishuhudia. SAUTI YAKE HAMKUISIKIA WAKATI WO WOTE, WALA SURA YAKE HAMKUIONA. 38  Wala neno lake hamnalo likikaa ndani yenu, kwa kuwa ninyi hammwamini…

Pande zote twadhikika, bali hatusongwi;(2Wakorintho 4:8)

Unaweza kushushwa chini, lakini simama usivunjike moyo. 2Wakorintho 4:8  “Pande zote twadhikika, bali hatusongwi; twaona shaka, bali hatukati tamaa; 9  twaudhiwa, bali hatuachwi; twatupwa chini, bali hatuangamizwi” Kwa kuwa bado…

Ni kosa gani lililowafanya wana wa israeli wawe watumwa miaka 400 Misri?.

Swali: Kwanini Mungu aliwapeleka wana wa Israeli Misri kwa miaka 400, Ni kosa gani kubwa walilolifanya mpaka Mungu kuwauza kwa Farao miaka yote hiyo? Jibu: Hakuna kosa lolote walilolifanya mpaka…

UNAFAHAMU KUWA YESU HUWA ANAJITENGA NA BAADHI YA WATU?

Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo, utukufu na heshima vina yeye milele na milele amina. Zipo tabia kadhaa za Yesu ambazo watu wengi huwa hatuzitambui. Kwamfano utakumbuka wakati…