DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Walakini ataokolewa kwa uzazi wake.

SWALI: Biblia inaposema mwanamke ataokolewa kwa uzazi wake, inamaanisha nini? 1Timotheo 2:14 “Wala Adamu hakudanganywa, ila mwanamke alidanganywa kabisa akaingia katika hali ya kukosa. 15 Walakini ataokolewa kwa uzazi wake,…

Je ni viatu gani Musa aliambiwa avivue?  Vya mwilini au vya rohoni? (Kutoka 3:5).

Tusome, Kutoka 3:5 "Naye akasema, Usikaribie hapa; vua viatu vyako miguuni mwako; maana mahali hapo unaposimama ni nchi takatifu. Viatu Musa alivyoambiwa avivue ni vya mwilini kabisa!, na si vya…

JINSI UNAJISI UNAVYOMGHARIMU MTU.

Bwana wetu Yesu Kristo atukuzwa. Ni siku nyingine tena tumepewa neema ya kuiona, hivyo nakukaribisha tujifunze Neno la Mungu, maadamu siku yenyewe inakaribia. Kama vile “Utakatifu na utakaso” vinavyokwenda Pamoja,…

JINSI YA KUMSIKIA MUNGU, NA KUPOKEA MAFUNUO AU JUMBE KUTOKA KWAKE.

Nakusalimu katika jina kuu sana la Bwana wetu Yesu Kristo, Karibu tuyatafakari maneno ya uzima, ambayo pekee ndio yanayoweza kutufanya sisi tuwe huru kweli kweli hapa duniani( Yohana 8:32). Leo…

Nini maana ya vifungeni viuno vya Nia zenu? (1Petro 1:13).

Tusome, 1Petro 1:13 “Kwa hiyo vifungeni viuno vya nia zenu, na kuwa na kiasi; mkiitumainia kwa utimilifu ile neema mtakayoletewa katika ufunuo wake Yesu Kristo. 14 Kama watoto wa kutii…

USIPUNGUZE KUTUMBUIZA!

Unaweza kujiuliza je! Sisi tumeitiwa kutumbiza?.. Jibu ni Ndio! sisi tumeitiwa kutumbuiza lakini si kwenye majukwaa ya dansi au anasa. Bali mbele za Malaika na wanadamu kupitia Maisha yetu ya…

Naye atawachunga kwa fimbo ya chuma.

Naye atawachunga kwa fimbo ya chuma.

UMUHIMU WA KUBATIZWA.

Ubatizo ni agizo la msingi sana, si la kulipuuzia hata kidogo!, na kwasababu shetani anajua ni agizo la msingi basi atatufuta kila njia watu wasibatizwe kabisa, au wabatizwe isivyopaswa na…

VIJANA NA MAHUSIANO.

Karibu katika darasa fupi, linalohusu vijana na mahusiano. Yapo maswali kadhaa ya kujifunza kwa kijana kabla ya kuanza mahusiano ya aina yoyote ile, na mambo yenyewe ni haya;  1. Je…

SHINA LA UCHUNGU, LISICHIPUKE NDANI YETU.

Biblia inasema; Waebrania 12:14 “Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote, na huo utakatifu, ambao hapana mtu atakayemwona Bwana asipokuwa nao; 15 mkiangalia sana mtu asiipungukie neema ya…