DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

USIPUNGUZE MAOMBI.

Katika Maisha usijaribu kufanya kosa la kupunguza maombi…Ni heri ukapunguza muda wa kufanya mambo mengine ambayo unaona ni ya muhimu lakini usipunguze kuomba hata kidogo!..Kama tayari ulishaanza kuwa muombaji, halafu…

UHARIBIFU HAUNA KIFUNIKO.

Ayubu 26:6 “Kaburi li wazi mbele yake, Uharibifu nao hauna kifuniko”. Kama tunavyojua mashimo mengi yanayochimbwa huwa yanawekwa mifuniko juu, ili kusudi kwamba ikitokea mtu mgeni akapita kwa njia ile…

MEANING OF NAMES

There is a Spirit accompanying Names, in Scripture we find many people were who changed their names, some at the beginning of the ministry or before the ministry began. Abraham…

Wanaowachukua wanawake wajinga mateka ni akina nani?

2Timotheo 3:6 Inazungumzia watu wanaowachukua wanawake wajinga mateka, Je! Mstari huu una maana gani? JIBU: Ukianzia kusoma tokea mstari wa kwanza utaona pale Paulo anamwonya Timotheo juu ya baadhi ya…

JE! PAKA KULIA USIKU NI ISHARA YA UCHAWI?

Dalili ya kwanza ya uchanga mkubwa wa kiroho ni hofu ya wachawi…Ukijiona unaogopa wachawi, au “uchawi” huo ni uthibitisho wa kwanza kabisa kwamba wewe ni mchanga kiroho, na Neno la…

NAO WATAKAOUAWA NA BWANA WATAKUWA WENGI.

Isaya 66:15 “Maana Bwana atakuja na moto, na magari yake ya vita kama upepo wa kisulisuli; ili atoe malipo ya ghadhabu yake kwa moto uwakao, na maonyo yake kwa miali…

 Je! Ni sahihi kutumia maji ya upako,katika kufanya maombezi?

SWALI: Je! Ni sahihi kutumia maji ya upako, mafuta ya upako au chumvi katika kufanya maombezi? JIBU: Kwanza ni muhimu kufahamu kuwa kinachomponya mtu ni damu ya Yesu Pekee. Na…

DAKIKA MOJA TU, INAKUFANYA UMWAMINI SHETANI?

Luka 4:5 “ Akampandisha juu, akamwonyesha milki zote za ulimwengu KWA DAKIKA MOJA. 6 Ibilisi akamwambia, Nitakupa wewe enzi hii yote, na fahari yake, kwa kuwa imo mikononi mwangu, nami…

What kind of ballot was used by the people who travelled with Jonah?

ANSWER: The Bible does not say which kind of ballot was cast there, whether it was a casting dice or that everyone wrote their own opinion and when they did…

THINK ABOUT THE DAY OF JUDGMENT.

Shalom, Blessed be the name of our Lord Jesus Christ ... it is good to remind ourselves of things we had previously learned or been taught. The Lord in the…